Chekeche jipya la mawaziri lanunikia muda si mrefu

Tunatka uchaguzi mpya, hatutaki viraka. hatutaki kufuga wezi zaidi.
 
Hawa Janjawidi wafukuzwe wote! Halafu mimi naona kufukuza mawaziri ni kupoteza muda mzizi wa matatizo ni mfumo wa wixi uliojengwa na ccm kwa muda mrefu tupige chini CCM tu ndo dawa!
NANI AWEPO NANI ASIWEPO NA KWA NINI?
Hii ilikuwa baada ya Lowasa kuachia ngazi...chanzo african magic

​

  1. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utawala Bora - Mathias Chikawe
  2. Waziri wa Nchi, Oisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu - Steven Wassira
  3. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma - Hawa Ghasia
  4. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri wa Muungano - Samia Suluhu Hassan
  5. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri wa Mazingira - Dk. Terezya Luoga-Hovisa
  6. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Sera, Uratibu na Bunge - William Lukuvi
  7. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji - Mary Nagu
  8. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - George Mkuchika
  9. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (i) - Aggrey Mwanri
  10. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (ii) - Kassim Majaliwa
  11. Waziri Wizara ya Fedha - Mustapha Mkullo
  12. Naibu Waziri Wizara ya Fedha (i) - Gregory Teu
  13. Naibu Waziri Wizara ya Fedha (ii) - Pereira Ame Silima
  14. Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi - Shamsi Vuai Nahodha
  15. Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi - Balozi Khamis Suedi Kagasheki
  16. Waziri wa Katiba na Sheria - Selina Kombani
  17. Waziri Wizara ya Mambo ya Nje - Bernard Membe
  18. Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje - Mahadhi Juma Mahadhi
  19. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi
  20. Waziri Wizara yaMaendeleo ya Mifungo - Dk. Mathayo David Mathayo
  21. Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Mifungo - Benedict Ole Nangoro
  22. Waziri Wizara ya Mawasiliano Sayansi ya Teknolojia - Profesa Makame Mnyaa M'barawa
  23. Naibu Waziri Wizara ya Mawasiliano Sayansi ya Teknolojia - Charles Kitwanga (almaaruf Mawe Matatu)
  24. Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Profesa Anna Kajumulo-Tibaijuka
  25. Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Goodluck Ole Medeye
  26. Waziri Wizara ya Maliasili na Utalii - Ezekiel Maige
  27. Waziri Wizara ya Nishati na Madini - William Mghanga Ngeleja
  28. Naibu Waziri Wizara ya Nishati na Madini - Adam Kighoma Ali Malima
  29. Waziri Wizara ya wa Ujenzi (Barabara na Viwanja vya Ndege) - Dk. John Pombe Magufuli
  30. Naibu Waziri Waziri Wizara ya wa Ujenzi - Dk. Harrison Mwakyembe
  31. Waziri Wizara ya Uchukuzi - (Reli, Bandari, Usafiri wa Majini) - Omary Nundu
  32. Naibu Waziri Wizara ya Uchukuzi - Athuman Mfutakamba
  33. Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara -Dk. Cyril Chami
  34. Naibu Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara - Lazaro Nyalandu
  35. Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi - Dk. Shukuru Kawambwa
  36. Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi - Philipo Mulugo
  37. Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii - Dk. Haji Hussein Mpanda
  38. Naibu Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii - Dk. Lucy Nkya
  39. Waziri Wizara ya Kazi na Ajira - Gaudensia Kabaka
  40. Naibu Waziri Wizara ya Kazi na Ajira - Dk. Makongoro Mahanga
  41. Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Sophia Simba
  42. Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Umi Ali Mwalimu
  43. Waziri Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Emmanuel John Nchimbi
  44. Naibu Waziri Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Dk. Fenela Mukangala
  45. Waziri Wizara ya Ushirikiano Afrika Mashariki - Samuel John Sitta
  46. Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano Afrika Mashariki - Abdallah Juma Abdallah
  47. Waziri Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika - Profesa Jumanne Maghembe
  48. Naibu Waziri Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika - Christopher Chizza
  49. Waziri Wizara ya Maji - Profesa Mark James Mwandosya
  50. Naibu Waziri Wizara ya Maji - Gerson Lwing
 
hamisi kigwangala, janauary makamba na tizeba wamo katika baraza jipya
 
Hii ni sawa na carina Ti kukokota trela la kontena ft 40!!!
 
Tungeichagua CHADEMA tungelikuwa na mawaziri 14 tu!
still wengi sana mkuu, 8 tu wanatosha, wizara nyeti tu, Ulinzi, Elimu, Afya, Mambo ya nje, Fedha, Elimu, Mambo ya ndani na Nishati na madini baasi, hakuna cha naibu waiziri wala nini,
 
MAWAZIRI WOTE WAFUKUZWE KUANZIA WAZIRI MKUU ALIYEGOMA KUJIUZULU MHESHIMIWA MIZENGO KAANZA PINDA ILI AKIANZA KUPITA NAE KWA WAKULIMA KUFANYA HARAMBEE YA MBOLEA NA MKEWA WAZIRI MKUU ALIYEGOMA KUJIUZULU TUNU PINDA WAWE WANAITWA WAZIRI MKUU ALIYEGOMA KUJIUZULU AKAFUKUZWA KAZI MIZENGO KAANZA PINDA NA MKE WA WAZIRI MKUU ALIYEGOMA KUJIUZULU NA AKAFUKUZWA KAZI MAMA TUNU PINDA AMEFANYA HARAMBEE YA MBOLEA YA KUVUNIA MAANA MSIMU WA KILIMO NI MFUPI SANA NA WATU WANAKUWA BIZE MASHAMBANI HATA UKIWAPA POMBE HUWA HAWAJI HALAFU MAJINA YA WASTAAFU NI MENGI WASTAAFU NA ALIYEJIUZULU TUNAE TAYARI HILI JINA LAKE LITAKUWA ZURI NA LA KWANZA KWA HISTORIA YA NCHI YETU NA HATA NAFASI ZA KAZI ZOTE ZIMEJAA KWA MFANO IDD SIMBA KAPATA UENYEKITI WA WAZEE WA DSM MPAKA 2015 , WARIOBA UENYEKITI KAMATI YA KATIBA MPAKA KATIBA MPYA IANZE KAZI ANGALAU IFUNGE MTU MMOJA NDIO WAJIUZULU, LOWASA YUPO MAKANISANI MPAKA ATAFANYA HARAMBEE MPAKA 2015 NA 2016 ATAKUWA NI MZEE WA KUALIKWA MAKANISANI KWAAJILI YA KUTUBU ILI KATIBA ISIMDHURU.
NA NYIE MAWAZIRI OMBENI MFUKUZWE ILI KATIBA MPYA IKIJA MTAJITETEA KWAMBA MLISHAHUKUMIWA NA KATIBA ILIYOPITA KWANI MKIJIUZULU KATIBA IJAYO INAWEZA KUWASOMBA HIVI MNADHANI WARIOBA YALE YA KAMATI YAKE YALISHINDWA KUFANYIWA KAZI SAFARI HII ATASHINDWA KUYAINGIZA KWENYE KATIBA MPYA MAANA AKISEMA TUME IMEPOKEA MAONI TOKA WANANCHI WALIOKUWA WANASEMA HUKU KWIKWI INAONYESHA IMEWABANA UTAFIKIRI HAWAJAWAHIKUNYWA MAJI WA VIJIJI VYA MALAGARASI,MBEMKULU,SOMANGA,KISHAPU,KWEMTIPULE,FISIMWENDA POLE,NK (SEHEMU AMBAZO WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MAIGE HAJAWAHI KUFIKA) WOTE KWA PAMOJA WAMEOMBA KATIBA MPYA IANZE HIVI TU. SEHEMU ZINGINE MTATUSAIDIA WENZETU.:target:

SURA YA KWANZA

JAMHURI YA MUUNGANO NA WATU o
1.Jamhuri muungano Tanzania ili iwe nchi moja, wezi wa rasilimali za nchi waliotufikisha hapa wanyongwe kwanza ndio tuanze upya .
 
hamisi kigwangala, janauary makamba na tizeba wamo katika baraza jipya

Vipi na Dr. Ndugulile hayupo kwenye hilo kundi? Naona toka awe mbunge amekuwa kimya sana yaani hakosoi chochote wala kuongea chochote watu wa hivi JK ndio anawapenda.
 
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="width: 324, bgcolor: transparent, colspan: 6"]
mawziri wanaohudhuria vikao vya baraza bolded watendaji red basi
A%20S-cry.gif
​
[/TD]
[TD="width: 105, bgcolor: transparent"]
RAIS ​
[/TD]
[TD="width: 325, bgcolor: transparent, colspan: 8"]
​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 105, bgcolor: transparent, align: center"]CAG[/TD]
[TD="width: 325, bgcolor: transparent, colspan: 8"]
​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 250, bgcolor: transparent, colspan: 5"]
​
[/TD]
[TD="width: 74, bgcolor: transparent"]
IGP​
[/TD]
[TD="width: 105, bgcolor: transparent"]
MKURUGENZI USALAMA WA TAIFA​
[/TD]
[TD="width: 79, bgcolor: transparent, colspan: 2"]
MKUU WA MAJESHI NA UZALENDO​
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent, colspan: 6"]
​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 324, bgcolor: transparent, colspan: 6"]
​
[/TD]
[TD="width: 105, bgcolor: transparent"]
KATIBU MKUU KIONGOZI​
[/TD]
[TD="width: 79, bgcolor: transparent, colspan: 2"]
​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 171, bgcolor: transparent, colspan: 4"]
​
[/TD]
[TD="width: 78, bgcolor: transparent"]
DCCCI​
[/TD]
[TD="width: 74, bgcolor: transparent"]
AG​
[/TD]
[TD="width: 105, bgcolor: transparent"]
​
[/TD]
[TD="width: 79, bgcolor: transparent, colspan: 2"]
DPP​
[/TD]
[TD="width: 74, bgcolor: transparent, colspan: 2"]
CDAP​
[/TD]
[TD="width: 172, bgcolor: transparent, colspan: 4"]
​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 324, bgcolor: transparent, colspan: 6"]
​
[/TD]
[TD="width: 105, bgcolor: transparent"]
MHASIBU MKUU WA SERIKALI​
[/TD]
[TD="width: 325, bgcolor: transparent, colspan: 8"]
​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 115, bgcolor: transparent, colspan: 3"]
​
[/TD]
[TD="width: 135, bgcolor: transparent, colspan: 2"]
WAZIRI WA NCHI OR UTAWALA BORA NATAWALA ZA MIKOAWIZARA YA NCHI OR FEDHA UCHUMI NA MIPANGO​
[/TD]
[TD="width: 74, bgcolor: transparent"]
WAZIRI WA NCHI OR SERA NA MAHUSIANO KITAIFA NA URATIBU BUNGE​
[/TD]
[TD="width: 105, bgcolor: transparent"]
ITAJAZWA​
[/TD]
[TD="width: 79, bgcolor: transparent, colspan: 2"]
WAZIRI WA NCHI OR MAMBO YA NDANI ​
[/TD]
[TD="width: 74, bgcolor: transparent, colspan: 2"]
WAZIRI WA NCHI OR MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA​
[/TD]
[TD="width: 56, bgcolor: transparent, colspan: 2"]
WAZIRI WA NCHI OR ULINZI NA UZALENDO KWA TAIFA​
[/TD]
[TD="width: 115, bgcolor: transparent, colspan: 2"]
​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 324, bgcolor: transparent, colspan: 6"]
[/TD]
[TD="width: 105, bgcolor: transparent"]
OFISI YA MAKAMU WA RAIS​
[/TD]
[TD="width: 325, bgcolor: transparent, colspan: 8"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 114, bgcolor: transparent, colspan: 2"]
[/TD]
[TD="width: 136, bgcolor: transparent, colspan: 3"]
WAZIRI WA NCHI OMR MAZINGIRA NJAAMAAFA NA UKIMWI​
[/TD]
[TD="width: 74, bgcolor: transparent"]
WAZIRI WA NCHI OMR AFYA NA USTAWI WA JAMII​
[/TD]
[TD="width: 105, bgcolor: transparent"]
WAZIRI WA NCHI OMR MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO​
[/TD]
[TD="width: 79, bgcolor: transparent, colspan: 2"]
WAZIRI WA NCHI OMR MAMBO YA MUUNGANO ​
[/TD]
[TD="width: 128, bgcolor: transparent, colspan: 3"]
WAZIRI WA NCHI OMR ARDHI NYUMBA NAMAENDEELEO YA MAKAZI​
[/TD]
[TD="width: 118, bgcolor: transparent, colspan: 3"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 324, bgcolor: transparent, colspan: 6"]
​
[/TD]
[TD="width: 105, bgcolor: transparent"]
WAZIRI MKUU​
[/TD]
[TD="width: 325, bgcolor: transparent, colspan: 8"]
​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 105, bgcolor: transparent"]
NAIBU WAZIRI MKUU​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 105, bgcolor: transparent"]
WAZIRI NCHI OWM SERIKALI ZA MITAA​
[/TD]
[TD="width: 325, bgcolor: transparent, colspan: 8"]
​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 56, bgcolor: transparent"]
KURUGENZI MIUNDO MBINU NA UCHUKUZI​
[/TD]
[TD="width: 59, bgcolor: transparent, colspan: 2"]
KURUGENZI UTAMADUNI MALIASILI NA UTALII​
[/TD]
[TD="width: 56, bgcolor: transparent"]
KURUGENZI ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI​
[/TD]
[TD="width: 78, bgcolor: transparent"]
KURUGENZI YA MAJI NA UMWAGILIAJI​
[/TD]
[TD="width: 74, bgcolor: transparent"]
ITAJAZWA​
[/TD]
[TD="width: 105, bgcolor: transparent"]
KURUGENZI YA FEDHA UCHUMI NA UDHIBITI​
[/TD]
[TD="width: 69, bgcolor: transparent"]
ITAJAZWA​
[/TD]
[TD="width: 78, bgcolor: transparent, colspan: 2"]
KURUGENZI YA MAENDELEO YA MIFUGO​
[/TD]
[TD="width: 62, bgcolor: transparent, colspan: 3"]
KURUGENZI YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA NA MSOKO ​
[/TD]
[TD="width: 56, bgcolor: transparent"]
KURUGENZI YA VIWANDA BIASHARA NA UWEKEZAJI​
[/TD]
[TD="width: 59, bgcolor: transparent"]
KURUGENZI YA KAZI AJIRA NA MAENDELEO YA VIJANA NA MICHEZO​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 324, bgcolor: transparent, colspan: 6"]
​
[/TD]
[TD="width: 105, bgcolor: transparent"]
WAZIRI WA MAMBO YA NJE​
[/TD]
[TD="width: 325, bgcolor: transparent, colspan: 8"]
​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 250, bgcolor: transparent, colspan: 5"]
[/TD]
[TD="width: 74, bgcolor: transparent"]
NAIBU WAZIRI MAMBO YAAFRIKA MASHARKI​
[/TD]
[TD="width: 105, bgcolor: transparent"]
​
[/TD]
[TD="width: 79, bgcolor: transparent, colspan: 2"]
NAIBU WAZIRI UHUSIANO KIMATAIFA​
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent, colspan: 6"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 324, bgcolor: transparent, colspan: 6"]
​
[/TD]
[TD="width: 105, bgcolor: transparent"]
WAZIRI NISHATI NA MADINI​
[/TD]
[TD="width: 325, bgcolor: transparent, colspan: 8"]
​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 250, bgcolor: transparent, colspan: 5"][h=1] [/h][/TD]
[TD="width: 74, bgcolor: transparent"][h=1]NAIBU WAZIRI MADINI[/h][/TD]
[TD="width: 105, bgcolor: transparent"][h=1] [/h][/TD]
[TD="width: 79, bgcolor: transparent, colspan: 2"][h=1]NAIBU WAZIRI NISHATI[/h][/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent, colspan: 6"][h=1] [/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 324, bgcolor: transparent, colspan: 6"]
[/TD]
[TD="width: 105, bgcolor: transparent"]
WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA​
[/TD]
[TD="width: 79, bgcolor: transparent, colspan: 2"]
​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
na Selemani Masele huyu ni mbunge wa shinyanga mjini..

huyu selemani masele na charles tizeba hawa report ilisema hawafai lakini naona mkuu anataka kutumia nguvu kuwapachika....lakini bado kuna mkanganyiko mkubwa sana..
 
NANI AWEPO NANI ASIWEPO NA KWA NINI?
Hii ilikuwa baada ya Lowasa kuachia ngazi...chanzo african magic

​

  1. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utawala Bora - Mathias Chikawe
  2. Waziri wa Nchi, Oisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu - Steven Wassira
  3. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma - Hawa Ghasia
  4. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri wa Muungano - Samia Suluhu Hassan
  5. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri wa Mazingira - Dk. Terezya Luoga-Hovisa
  6. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Sera, Uratibu na Bunge - William Lukuvi
  7. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji - Mary Nagu
  8. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - George Mkuchika
  9. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (i) - Aggrey Mwanri
  10. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (ii) - Kassim Majaliwa
  11. Waziri Wizara ya Fedha - Mustapha Mkullo
  12. Naibu Waziri Wizara ya Fedha (i) - Gregory Teu
  13. Naibu Waziri Wizara ya Fedha (ii) - Pereira Ame Silima
  14. Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi - Shamsi Vuai Nahodha
  15. Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi - Balozi Khamis Suedi Kagasheki
  16. Waziri wa Katiba na Sheria - Selina Kombani
  17. Waziri Wizara ya Mambo ya Nje - Bernard Membe
  18. Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje - Mahadhi Juma Mahadhi
  19. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi
  20. Waziri Wizara yaMaendeleo ya Mifungo - Dk. Mathayo David Mathayo
  21. Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Mifungo - Benedict Ole Nangoro
  22. Waziri Wizara ya Mawasiliano Sayansi ya Teknolojia - Profesa Makame Mnyaa M'barawa
  23. Naibu Waziri Wizara ya Mawasiliano Sayansi ya Teknolojia - Charles Kitwanga (almaaruf Mawe Matatu)
  24. Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Profesa Anna Kajumulo-Tibaijuka
  25. Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Goodluck Ole Medeye
  26. Waziri Wizara ya Maliasili na Utalii - Ezekiel Maige
  27. Waziri Wizara ya Nishati na Madini - William Mghanga Ngeleja
  28. Naibu Waziri Wizara ya Nishati na Madini - Adam Kighoma Ali Malima
  29. Waziri Wizara ya wa Ujenzi (Barabara na Viwanja vya Ndege) - Dk. John Pombe Magufuli
  30. Naibu Waziri Waziri Wizara ya wa Ujenzi - Dk. Harrison Mwakyembe
  31. Waziri Wizara ya Uchukuzi - (Reli, Bandari, Usafiri wa Majini) - Omary Nundu
  32. Naibu Waziri Wizara ya Uchukuzi - Athuman Mfutakamba
  33. Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara -Dk. Cyril Chami
  34. Naibu Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara - Lazaro Nyalandu
  35. Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi - Dk. Shukuru Kawambwa
  36. Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi - Philipo Mulugo
  37. Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii - Dk. Haji Hussein Mpanda
  38. Naibu Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii - Dk. Lucy Nkya
  39. Waziri Wizara ya Kazi na Ajira - Gaudensia Kabaka
  40. Naibu Waziri Wizara ya Kazi na Ajira - Dk. Makongoro Mahanga
  41. Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Sophia Simba
  42. Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Umi Ali Mwalimu
  43. Waziri Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Emmanuel John Nchimbi
  44. Naibu Waziri Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Dk. Fenela Mukangala
  45. Waziri Wizara ya Ushirikiano Afrika Mashariki - Samuel John Sitta
  46. Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano Afrika Mashariki - Abdallah Juma Abdallah
  47. Waziri Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika - Profesa Jumanne Maghembe
  48. Naibu Waziri Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika - Christopher Chizza
  49. Waziri Wizara ya Maji - Profesa Mark James Mwandosya
  50. Naibu Waziri Wizara ya Maji - Gerson Lwing

namshauri JK sasa afukuze wote nchi ibaki bila mawaziri maana ni wale wale ambao wakiharibu hapa wanapelekwa hapa.
tuwakatae wote au kwa mara ya kwanza achague baraza lote toka CDM na Spika awe Marando uone kazi itavyokuwa sahihi.

Wote waliotajwa kwa wizi kipindi hiki na na tangu JK aingia madarakani HATUWATAKI. Wakija huku tutawazomea maana kwanza Tayariwameshaumbuliwa bungeni kuwa wanyongwe nasi hatutakiwa watu wenye muder.
 
Uteuzi unapolenga kuridhisha kila aliyechaningia ushindi matokeo yake ni mawaziri 50 kwa utendaji wa kujitwalia kama walio katika pori lisilo mwenyewe. Kodi zetu zimekosa msimamizi, tunapaswa kuweka bayana kwenye KATIBA kiwango/idadi ya mawaziri kwa kutaja aina ya wizara. Baada ya hapo itakuwa aingiaye atafungwa na vipengele, hata kama ana ukoo wa kuwapa madaraka Katiba itatusaidia kusimamia na kulinda kodi zetu zinazotapanywa.
 
Wote hawa wa nini kama si kuendeleza ufisadi na ufuska? Punguza baraza la mawaziri wabakie wachache na kifutwe cheo cha naibu waziri au permanent secretary huu ufujaji wa pesa za walipa kodi.. Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii waTanzania tunaumizwa shule hakuna hospitali hakuna maji hakuna barabara mbovu lakini watu wanajichotea pesa kama zao halafu mnalaumu WAPINZANI!!!!
 
Tuna uwezo wa kuwa na baraza la mawaziri wasiozidi 12, na wakafanya kazi vizuri. Katika CCM ya sasa watu ambao naona wanaweza kushika nafasi za uwaziri ni hawa wafuatao:- Magufuli, Mwakyembe, Mwandosya, Filikunjombe, Anna Tibaijuka, Samweli Sita na wabunge wa CCM waliosaini kutokuwa na imani na waziri mkuu.
 
still wengi sana mkuu, 8 tu wanatosha, wizara nyeti tu, Ulinzi, Elimu, Afya, Mambo ya nje, Fedha, Elimu, Mambo ya ndani na Nishati na madini baasi, hakuna cha naibu waiziri wala nini,

Kweli kabisa tunahitaji wizara nyeti nyengine utendaji wa kazi sifuli

Wanahitajika mawaziri 20tu tanazania ... Sasa hii 50+ nouma

20 wengi sana 18 tuu

namshauri JK sasa afukuze wote nchi ibaki bila mawaziri maana ni wale wale ambao wakiharibu hapa wanapelekwa hapa.
tuwakatae wote au kwa mara ya kwanza achague baraza lote toka CDM na Spika awe Marando uone kazi itavyokuwa sahihi.

Wote waliotajwa kwa wizi kipindi hiki na na tangu JK aingia madarakani HATUWATAKI. Wakija huku tutawazomea maana kwanza Tayariwameshaumbuliwa bungeni kuwa wanyongwe nasi hatutakiwa watu wenye muder.

Lakini kuna wengine wana msimamo na imani kubwa
Wote hawa wa nini kama si kuendeleza ufisadi na ufuska? Punguza baraza la mawaziri wabakie wachache na kifutwe cheo cha naibu waziri au permanent secretary huu ufujaji wa pesa za walipa kodi.. Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii waTanzania tunaumizwa shule hakuna hospitali hakuna maji hakuna barabara mbovu lakini watu wanajichotea pesa kama zao halafu mnalaumu WAPINZANI!!!!

Umeona mambo mengine sio muhimu kwa hali tulio kuwa nayo.Watanzania wengi wanapumulia mipila

Back
Top Bottom