Chekeche jipya la mawaziri lanunikia muda si mrefu

namshauri JK sasa afukuze wote nchi ibaki bila mawaziri maana ni wale wale ambao wakiharibu hapa wanapelekwa hapa.
tuwakatae wote au kwa mara ya kwanza achague baraza lote toka CDM na Spika awe Marando uone kazi itavyokuwa sahihi.

Wote waliotajwa kwa wizi kipindi hiki na na tangu JK aingia madarakani HATUWATAKI. Wakija huku tutawazomea maana kwanza Tayariwameshaumbuliwa bungeni kuwa wanyongwe nasi hatutakiwa watu wenye muder.

Bora iwe hivyo
 
Mchakato wa kupata Wateule wa Uwaziri lazima utawagusa na wasipoangalia utawatikisha CDM. Kuna wabunge wa CDM watanyooshewa mkono wa carrot na fimbo!
 
Huyu kalikaria kuti kavu
maige%20ezekielwaziri.jpg
SIKU moja baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige kukiri kununua nyumba jijini Dar es Salaam kwa Dola za Marekani 410,000, taasisi na watu mbalimbali wameeleza kutoridhishwa na utajiri wake, huku Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) likitaka ashtakiwe kwa kuhujumu uchumi.

Wamesema kipato cha Waziri Maige kama mtumishi wa umma, hakilingani na thamani ya mali hiyo anayomiliki, hivyo ni vyema hatua za kisheria zikachukuliwa ili kuthibitisha madai yake kwamba anaimiliki kihalali.

Katibu Mkuu wa Tucta, Nicholaus Mgaya alieleza kushangazwa na utajiri wa waziri huyo kijana akisema kuwa una walakini, hivyo ni vyema sheria ikachukua mkondo.

"Tucta tunasema ashtakiwe kama mhujumu uchumi. Pia tunasema wazi kwamba tunasikitishwa na jinsi Serikali inavyofanya kazi. Tunaungana na wabunge 70 waliosaini kumtaka Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ajiuzulu," alisema
Chanzo Mwananchi la leo
 
Mawaziri wengi ni wezi na nina ushahidi-Filikunjombe

Mawaziri wengi ni wezi kwasababu wao wanatumiwa na bosi wao kuiba hivyo na wao wanajikatia humo humo wanapofanikisha wizi wa bosi wao na huo ndio msingi wa yeye kuwalinda kwani akiwatema wanaweza kumwaga mboga!! Halafu mnashangaa wakina Maige na Ngeleja kununua majumba ya mabilioni ya shilingi; hawa wanafuata nyayo za bosi wao jinsi alivyojenga huko kwao Msoga na wao wanafanya kufuru vivyo hiovyo huku watoto wa shule wanakalia matofali na zahanati MIJINI NA VIJIJINI hazina dawa!!Nyie watawala wezi you better be warned that wadanganyika know what you are doing and soon you will be called to account for your crimes!
 
Kimesha eleweka ngoja tuone hao wapya wakina nani na watafanya nini?
 
Back
Top Bottom