Mawaziri wengi ni wezi na nina ushahidi-Filikunjombe
kitabu cha CAG kimemtaja mkulø,na sijasema wote ni wengi wao
Mawaziri wengi ni wezi na nina ushahidi-Filikunjombe
Nimeshachoka hata kufikiria na kutarajia mapya manake bila 2015 hakuna jipya vyovyote atakavyoamua poa hata akiamua kumweka Irizi One poa bana.
Duh Kiona usikate tamaa TIME WILL TELL usikubali kushindwa mapema kiasi hicho.
kukata tamaa ni kukubali kushindwa
Kitanda chenye kunguni hata ubadilishe shuka kunguni watakuwepo tu
Fukuza waote hao wezi wakunbwa labda Magufuli tu abaki
weengi mno jamani hamsini!
Mawaziri hamsini wa nini ?.
Shughuli watu bwana !!!
mtandao wa uchaguzi.Mawaziri hamsini wa nini ?.
Fukuza waote hao wezi wakunbwa labda Magufuli tu abaki
Mkuu chum chang ni bora al shabab kuliko kundi la laana kumu hao,bora wafe na tusiomboloze.
my opinion, aache tuu maisha yaendelee kama yalivyo! wabongo watakapopata ubongo ndio abadili, kwa sasa muda bado! si mnasema ni genge la wezi, sasa amuweke mtu msafi ili amchafue?
Hoja hapa ni nini ? Nilidhani unaleta uchambuzi kumbe unawasilisha baraza lililopo !!!!
karibu robo ya wabunge wa ccm ni mawaziri. kazi kweli kweli sasa 2015 cdm ikiongeza idadi ya wabunge kufikia 160 inamaana wabunge wote wa ccm watakuwa mawaziri
Mawaziri 20 wanatosha kabisa kuongoza serikali. Ondoa
- ngeleja
- mkulo
- malima
- wasira
Shughuli watu bwana !!!
Majizi haya na mwenyekiti wa kikao cha majizi ndo jizi la kutupwa
Kweli jamani ni wengi sana hivi hilo baraza la Mawaziri la Obama navyojua hawavuki 14 km kaongeza basi hata 20 hawatafika.Mawaziri hamsini wa nini ?.
NANI AWEPO NANI ASIWEPO NA KWA NINI?
Hii ilikuwa baada ya Lowasa kuachia ngazi...chanzo african magic
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utawala Bora - Mathias Chikawe
- Waziri wa Nchi, Oisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu - Steven Wassira
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma - Hawa Ghasia
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri wa Muungano - Samia Suluhu Hassan
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri wa Mazingira - Dk. Terezya Luoga-Hovisa
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Sera, Uratibu na Bunge - William Lukuvi
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji - Mary Nagu
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - George Mkuchika
- Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (i) - Aggrey Mwanri
- Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (ii) - Kassim Majaliwa
- Waziri Wizara ya Fedha - Mustapha Mkullo
- Naibu Waziri Wizara ya Fedha (i) - Gregory Teu
- Naibu Waziri Wizara ya Fedha (ii) - Pereira Ame Silima
- Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi - Shamsi Vuai Nahodha
- Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi - Balozi Khamis Suedi Kagasheki
- Waziri wa Katiba na Sheria - Selina Kombani
- Waziri Wizara ya Mambo ya Nje - Bernard Membe
- Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje - Mahadhi Juma Mahadhi
- Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi
- Waziri Wizara yaMaendeleo ya Mifungo - Dk. Mathayo David Mathayo
- Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Mifungo - Benedict Ole Nangoro
- Waziri Wizara ya Mawasiliano Sayansi ya Teknolojia - Profesa Makame Mnyaa M'barawa
- Naibu Waziri Wizara ya Mawasiliano Sayansi ya Teknolojia - Charles Kitwanga (almaaruf Mawe Matatu)
- Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Profesa Anna Kajumulo-Tibaijuka
- Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Goodluck Ole Medeye
- Waziri Wizara ya Maliasili na Utalii - Ezekiel Maige
- Waziri Wizara ya Nishati na Madini - William Mghanga Ngeleja
- Naibu Waziri Wizara ya Nishati na Madini - Adam Kighoma Ali Malima
- Waziri Wizara ya wa Ujenzi (Barabara na Viwanja vya Ndege) - Dk. John Pombe Magufuli
- Naibu Waziri Waziri Wizara ya wa Ujenzi - Dk. Harrison Mwakyembe
- Waziri Wizara ya Uchukuzi - (Reli, Bandari, Usafiri wa Majini) - Omary Nundu
- Naibu Waziri Wizara ya Uchukuzi - Athuman Mfutakamba
- Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara -Dk. Cyril Chami
- Naibu Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara - Lazaro Nyalandu
- Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi - Dk. Shukuru Kawambwa
- Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi - Philipo Mulugo
- Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii - Dk. Haji Hussein Mpanda
- Naibu Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii - Dk. Lucy Nkya
- Waziri Wizara ya Kazi na Ajira - Gaudensia Kabaka
- Naibu Waziri Wizara ya Kazi na Ajira - Dk. Makongoro Mahanga
- Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Sophia Simba
- Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Umi Ali Mwalimu
- Waziri Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Emmanuel John Nchimbi
- Naibu Waziri Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Dk. Fenela Mukangala
- Waziri Wizara ya Ushirikiano Afrika Mashariki - Samuel John Sitta
- Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano Afrika Mashariki - Abdallah Juma Abdallah
- Waziri Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika - Profesa Jumanne Maghembe
- Naibu Waziri Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika - Christopher Chizza
- Waziri Wizara ya Maji - Profesa Mark James Mwandosya
- Naibu Waziri Wizara ya Maji - Gerson Lwing