Cheka kidogo usije ukakojoa

Cheka kidogo usije ukakojoa

Mr.mpemba

Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
17
Reaction score
0
Mume na mke wameingia hotel ya bei ghali.
Mume: Wife unakula nini?
Mke: Baby utakachokula na mie hichoX2.
Mume: Mhudumuu!
Mhudumu: Naam mkubwa, unaorder ki2 gani?
Mume: Chips na kuku sahani 2 bei gani?
Mhudumu: 65,000/=
Mume: Inakuwa na kachumbari?
Mhudumu: Ndio mkubwa.
Mume: Kachumbari nayo bei gani?
Mhudumu: Kachumbari bure boss.
Mume: Basi 2naomba kachumbari sahani 2!
 
hiyo kali

ha ha ha haaaa, mama imekula kipande yake ha ha haaa!!!!!!!!!!!
 
kuna mshkaji hapa anasema eti huyo jamaa lazima tu atakuwa mpare!!
 
Kuna mwengine yy aliagizia chai, akauliza kikombe bei gani akaambiwa mia 2 na sukari jee akaambiwa hio ni bure jamaa akaona hapo ndo pa kupata basi akaagiza chai kikombe ki1 na sukari kg 10 take away
 
hahahahahaha kama namuona huyo waiter alivyobaki mdomo wazi!LOL
 
Kuna mwengine yy aliagizia chai, akauliza kikombe bei gani akaambiwa mia 2 na sukari jee akaambiwa hio ni bure jamaa akaona hapo ndo pa kupata basi akaagiza chai kikombe ki1 na sukari kg 10 take away
nimecheka sana dah!!
 
Ha ha ha. Hii hata Lol Haitoshi....Hii ni Lolest!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom