Cheaters: The Series

Cheaters: The Series

Wadau habari za muda huu.

Juzi alhamisi nikiwa mitaa ya Sinza kwenye saluni flani nilipoteza simu yangu ninayotumia mara nyingi. Bahati nzuri details zote za simu nilikua nimezihifadhi home.

Siku hiyo hiyo nikatoa taarifa kituo cha polisi. Kwa kweli kuna baadhi ya maafande nchi hii wako vizuri mno. Bila kuombwa rushwa wala usumbufu, leo mida ya saa sita nikapigiwa simu niifuate simu yangu.

Hii inaweza kuja kuwa stori nyingine kwa wakati mwingine. Ila shukrani nyingi kwako afande mwenye jina kama mkoa mmojawapo nchini. Kwa weledi na kasi ya ajabu ya kufuatilia.

Kukosa simu kwa siku hizi mbili zilifanya nishindwe kuandika kikamilifu. Leo baada ya kuipata simu yangu nimeandika muendelezo ila haujakaa sawa mpaka sasa.

Hivyo kwa heshima na taadhima naomba niilete kwenu kesho kabla ya saa 12 jioni.

See u kesho wadau. Poleni sana na asanteni kwa uvumilivu
 
Kwanza kaka pole sana kwa matatizo hayo.
Hakuna shaka kama yalitoa hayo sisi kama wajumbe tumeelewa.
Wewe ni muungwana umwvuliwa nguo ukachutama.
Kila la kheri Brother.
 
Wadau habari za muda huu.

Juzi alhamisi nikiwa mitaa ya Sinza kwenye saluni flani nilipoteza simu yangu ninayotumia mara nyingi. Bahati nzuri details zote za simu nilikua nimezihifadhi home.

Siku hiyo hiyo nikatoa taarifa kituo cha polisi. Kwa kweli kuna baadhi ya maafande nchi hii wako vizuri mno. Bila kuombwa rushwa wala usumbufu, leo mida ya saa sita nikapigiwa simu niifuate simu yangu.

Hii inaweza kuja kuwa stori nyingine kwa wakati mwingine. Ila shukrani nyingi kwako afande mwenye jina kama mkoa mmojawapo nchini. Kwa weledi na kasi ya ajabu ya kufuatilia.

Kukosa simu kwa siku hizi mbili zilifanya nishindwe kuandika kikamilifu. Leo baada ya kuipata simu yangu nimeandika muendelezo ila haujakaa sawa mpaka sasa.

Hivyo kwa heshima na taadhima naomba niilete kwenu kesho kabla ya saa 12 jioni.

See u kesho wadau. Poleni sana na asanteni kwa uvumilivu
Atakuwa afande Mwanza huyo
 
Dah mwana ndo nimemaliza kvanga nakuja kucheki mzigo...ila nimekusoma mzee baba..
Potelea pwete
 
Kiga pole kwa kupoteza simu,na hongera kwa kuipata tena,ulisema jpili utatuletea utamu,jpili ndio hii sasa
 
Mkuu kwanza pole kwa yaliyokukuta. Naomba ututauie ni detail gani za kutunzwa tunapoibiwa simu tuzitumie kurepoti oolisi tatizo hilo.
Ile imei namba ni muhimu kuitunza. Popote itakapokua inatumika itaonekana na polisi wanaohusika na cyber crime wanaifuatilia. Case yangu, wazazi wa dogo aliyesepa nayo waliiwasilisha wenyewe baada ya kuona kijana anafuatiliwa
 
Wadau habari za muda huu.

Juzi alhamisi nikiwa mitaa ya Sinza kwenye saluni flani nilipoteza simu yangu ninayotumia mara nyingi. Bahati nzuri details zote za simu nilikua nimezihifadhi home.

Siku hiyo hiyo nikatoa taarifa kituo cha polisi. Kwa kweli kuna baadhi ya maafande nchi hii wako vizuri mno. Bila kuombwa rushwa wala usumbufu, leo mida ya saa sita nikapigiwa simu niifuate simu yangu.

Hii inaweza kuja kuwa stori nyingine kwa wakati mwingine. Ila shukrani nyingi kwako afande mwenye jina kama mkoa mmojawapo nchini. Kwa weledi na kasi ya ajabu ya kufuatilia.

Kukosa simu kwa siku hizi mbili zilifanya nishindwe kuandika kikamilifu. Leo baada ya kuipata simu yangu nimeandika muendelezo ila haujakaa sawa mpaka sasa.

Hivyo kwa heshima na taadhima naomba niilete kwenu kesho kabla ya saa 12 jioni.

See u kesho wadau. Poleni sana na asanteni kwa uvumilivu
Afande Moshi,
 
Back
Top Bottom