Hahaha Shubi ni moto [emoji91]Hilo shape hapo aisee ni hatarii. Napata picha prezdaa alivofaidi hizo maboga mawili hapo nyuma.
Waswahili wanasema Shubi anajambia mbali [emoji23][emoji23]
Sooooooo niceee mtaalam.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hebu fanya hivyo basi,maana jmosi ni mbali ujue[emoji4][emoji4][emoji4] weekdays tule story nyingine broda
😅 😅Kesho km kesho...
Mzee baba fanya kweli basi
Karibu sana mkuu ,kuna Pepsi pia wakati tunamsubir boss kiga
Asante sanaa, imekaa poa hiyo, we can dare for more.Karibu sana mkuu ,kuna Pepsi pia wakati tunamsubir boss kiga
Poaa, ila tu vipande viwe virefuu virefuuuJumamosi kama jumamosi, hahahaah.
Nina habari njema na mbaya.
Njema ni kuwa ninaandika na soon itawajia.
Mbaya ni kuwa hii episode ya leo itaishia katikati.
Njema zaidi ni kuwa kipande kilichobaki kitamaliziwa jumapili jioni.