Chawa hakai kwa mtu msafi

Chawa hakai kwa mtu msafi

Joined
Jul 20, 2024
Posts
43
Reaction score
100
Habari wakuu, bila kupoteza muda niende kwenye lengo la kuandika makala hii,kwanini watu wanapenda kuwamiliki chawa

Kwanini nini chawa,chawa ni mdudu anaependa kukaa maeneo machafu, kwenye nywele,nguo chafu.

Chawa husababisha upele, kujikuna na hata magonjwa.

Mtu msafi hana chawa, chawa hakai kwa mtu msafi ukimuona mtu ana chawa jua huyo ni mchafu huenda sio wa mavavi na mwili huenda ikawa hata uchafu wa matendo

Chawa hafai kufugwa,anapaswa kupasuliwa na kubinywa kwa vidole viwili,

Usiendekeze chawa atakuaibisha

#the doctor of philosophy

downloadfile-2.jpg
 
Habari wakuu,bila kupoteza muda niende kwenye lengo la kuandika makala hii,kwanini watu wanapenda kuwamiliki chawa

Kwanini nini chawa,chawa ni mdudu anaependa kukaa maeneo machafu, kwenye nywele,nguo chafu.

Chawa husababisha upele,kujikuna,na hata magonjwa.

Mtu msafi hana chawa, chawa hakai kwa mtu msafi ukimuona mtu ana chawa jua huyo ni mchafu huenda sio wa mavavi na mwili huenda ikawa hata uchafu wa matendo

Chawa hafai kufugwa,anapaswa kupasuliwa na kubinywa kwa vidole viwili,

Usiendekeze chawa atakuaibisha

#the doctor of philosophy
Like is not an endorsement.
My take
Meaning is internal and individual.
 
Habari wakuu, bila kupoteza muda niende kwenye lengo la kuandika makala hii,kwanini watu wanapenda kuwamiliki chawa

Kwanini nini chawa,chawa ni mdudu anaependa kukaa maeneo machafu, kwenye nywele,nguo chafu.

Chawa husababisha upele, kujikuna na hata magonjwa.

Mtu msafi hana chawa, chawa hakai kwa mtu msafi ukimuona mtu ana chawa jua huyo ni mchafu huenda sio wa mavavi na mwili huenda ikawa hata uchafu wa matendo

Chawa hafai kufugwa,anapaswa kupasuliwa na kubinywa kwa vidole viwili,

Usiendekeze chawa atakuaibisha

#the doctor of philosophy

View attachment 3179740
Umesema chawa anaweza kusababisha magonjwa. Magonjwa gani hayo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom