CHAUMMA chaumia Mwanza

CHAUMMA chaumia Mwanza

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,051
Reaction score
828,855
Waswahel wanasema.. Nyota njema huonekana alfajri.. Na wazungu wanasema first impression last conclusion..

Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.. Kwakuwa yeyote anaweza kuongea chochote kwa majigambo yote. Lakini akashindwa kabisa kwenye matendo na vitendo

Hivi ndivyo tunavyoweza kuthibitisha kwenye chama cha siasa cha CHAUMMA.. pamoja na majigambo mengi mikutano yake miwili ya kutambulisha viongozi pale Ubungo plaza na ule wa hadhara uliofanyika Mwanza imefeli big time!

Project CHAUMMA ililenga kukipasua na kukidhoofisha chama tishio cha CHADEMA.. Lakini waandaji na wafadhili wa hii project walisahau CHADEMA SIO NCCR MAGEUZI kwa TLP wala sio CUF kwa ACT- WAZALENDO.. Vyama ambavyo vilikuja kumalizwa kizembe na mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi

Naweza kusema pamoja na mahitaji ya nyakati na uelewa wa wananchi kuongezeka lakini walioandaa project za NCCR-TLP na CUF- ACT walikuwa kidogo werevu maana waliweza kutumia key figures Ku is am bar at is ha

Yaani ni sawa na mzazi kumlea mtoto kwa taabu na mateso mengi kisha umkatae au umfanyie figisu asifanikiwe

Mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi ulinia kutumia uchaguzi ndani ya CHADEMA kukipasua.. Ikashindikana.. Ndio wakaja na plan B ya CHAUMMA.. kwa bahati mbaya sana "wali pick wrong figures"
Kwa kosa hilo kubwa kwa sasa chaumma ni mwendo wa maumivu .. Yaani kimeshajibemenda hata kabla ya kwanza kutambaa.
Igweeee...!!!!
 
Utafiti haukufanyika kwa umakini kujua udhaifu na nguvu ya chadema, hivyo njia zinazotumika kuiua chadema ni za kizamani. Kila kitu kinakwenda na wakati. Chadema ime survive almost 10 years kama chama kikuu cha upinzani kina mizizi huku chini na udhaifu wa ccm ndiyo nguvu ya chadema kwa sasa. kinapendwa na wananchi kwa misimamo yake na mataifa ya nje. Mbowe amesaidia sana kukiimarisha kwa uchaguzi wenye credibility jan 21. kwa sasa it is too late kukidhoofisha. Hata kama kitashindwa kuwa chama kikuu cha upinzani na akawa ACT au CHAUMMA kiufundi na kimagumashi, Chadema kitaendelea na title ya kuwa chama KIKUBWA nchini nyuma ya CCM.Mimi siyo mwana chadema au CCM ila haya ni maoni yangu huru.
 
Naona sasa CHADEMA mmeanza kushindana na CHAUMMA. Kwa hakika mmepoteza Dira na muelekeo kabisa.
Wapi umesikia kwenye mikutano ya Chadema wanaitaja Chaummwa? Chadema iko bize kutoa elimu kwa wananchi na wengi kwa maelfu wanaikubali hoja ya No Reforms No Election na ndiyo maana wanaichangia. Taahira kama wewe ambaye umejaza kinyesi kwenye hilo fuvu lako huwezi kelewa unachoweza ni kumsifaia yule subiani mnyinya damu za Watanganyika tu na labda kwenda chooni.
 
Waswahel wanasema.. Nyotq njema huonekana alfajri.. Na wazungu wanasemq first impression last conclusion..

Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.. Kwakuwa yeyote anaweza kuongea chochote kwa majigambo yote. Lakini akashindwa kabisa kwenye matendo na vitendo

Hivi ndivyo tunavyoweza kuthibitisha kwenye chama cha siasa cha CHAUMMA.. pamoja na majigambo mengi mikutano yake miwili ya kutambulisha viongozi pale Ubungo plaza na ule wa hadhara uliofanyika Mwanza imefeli big time!

Project CHAUMMA ililenga kukipasua na kukidhoofisha chama tishio cha CHADEMA.. Lakini waandaji na wafadhili wa hii project walisahau CHADEMA SIO NCCR MAGEUZI kwa TLP wala sio CUF kwa ACT- WAZALENDO.. Vyama ambavyo vilikuja kumalizwa kizembe na mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi

Naweza kusema pamoja na mahitaji ya nyakati na uelewa wa wananchi kuongezeka lakini walioandaa project za NCCR-TLP na CUF- ACT walikuwa kidogo werevu maana waliweza kutumia key figures Ku is am bar at is ha

Yaani ni sawa na mzazi kumlea mtoto kwa taabu na mateso mengi kisha umkatae au umfanyie figisu asifanikiwe

Mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi ulinia kutumia uchaguzi ndani ya CHADEMA kukipasua.. Ikashindikana.. Ndio wakaja na plan B ya CHAUMMA.. kwa bahati mbaya sana "wali pick wrong figures"
Kwa kosa hilo kubwa kwa sasa chaumma ni mwendo wa maumivu .. Yaani kimeshajibemenda hata kabla ya kwanza kutambaa.
Igweeee...!!!!
kwanini hii ni habari njema, ya kufurahisha na ya matumaini sana kwa chadema gentleman?🐒
 
Chauma chaumia 😂😂
 
Igweeeeee
 
Back
Top Bottom