Waswahel wanasema.. Nyota njema huonekana alfajri.. Na wazungu wanasema first impression last conclusion..
Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.. Kwakuwa yeyote anaweza kuongea chochote kwa majigambo yote. Lakini akashindwa kabisa kwenye matendo na vitendo
Hivi ndivyo tunavyoweza kuthibitisha kwenye chama cha siasa cha CHAUMMA.. pamoja na majigambo mengi mikutano yake miwili ya kutambulisha viongozi pale Ubungo plaza na ule wa hadhara uliofanyika Mwanza imefeli big time!
Project CHAUMMA ililenga kukipasua na kukidhoofisha chama tishio cha CHADEMA.. Lakini waandaji na wafadhili wa hii project walisahau CHADEMA SIO NCCR MAGEUZI kwa TLP wala sio CUF kwa ACT- WAZALENDO.. Vyama ambavyo vilikuja kumalizwa kizembe na mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi
Naweza kusema pamoja na mahitaji ya nyakati na uelewa wa wananchi kuongezeka lakini walioandaa project za NCCR-TLP na CUF- ACT walikuwa kidogo werevu maana waliweza kutumia key figures Ku is am bar at is ha
Yaani ni sawa na mzazi kumlea mtoto kwa taabu na mateso mengi kisha umkatae au umfanyie figisu asifanikiwe
Mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi ulinia kutumia uchaguzi ndani ya CHADEMA kukipasua.. Ikashindikana.. Ndio wakaja na plan B ya CHAUMMA.. kwa bahati mbaya sana "wali pick wrong figures"
Kwa kosa hilo kubwa kwa sasa chaumma ni mwendo wa maumivu .. Yaani kimeshajibemenda hata kabla ya kwanza kutambaa.
Igweeee...!!!!