CHAUMMA chaumia Mwanza

CHAUMMA chaumia Mwanza

Yawezekana walikuwa sahihi lakini kinachoamua uinuke au usiinuke Mara nyingi ni timing.

Hakuna chama chochote kinachoweza kukua kufika Chadema au at least sisiemu .

Hawa jamaa wefanikiwa kuwa na zile grassroots they can't mess up.

Hata sisiemu bila wasanii hupata watu Ila bila wasanii hupata maudhurio machache

Chadema is there to stay.
 
kwani chadema ilikua wapi wakati CUF na NCCR MAGEUZI wako pale juu?🐒
 
Waswahel wanasema.. Nyotq njema huonekana alfajri.. Na wazungu wanasemq first impression last conclusion..

Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.. Kwakuwa yeyote anaweza kuongea chochote kwa majigambo yote. Lakini akashindwa kabisa kwenye matendo na vitendo

Hivi ndivyo tunavyoweza kuthibitisha kwenye chama cha siasa cha CHAUMMA.. pamoja na majigambo mengi mikutano yake miwili ya kutambulisha viongozi pale Ubungo plaza na ule wa hadhara uliofanyika Mwanza imefeli big time!

Project CHAUMMA ililenga kukipasua na kukidhoofisha chama tishio cha CHADEMA.. Lakini waandaji na wafadhili wa hii project walisahau CHADEMA SIO NCCR MAGEUZI kwa TLP wala sio CUF kwa ACT- WAZALENDO.. Vyama ambavyo vilikuja kumalizwa kizembe na mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi

Naweza kusema pamoja na mahitaji ya nyakati na uelewa wa wananchi kuongezeka lakini walioandaa project za NCCR-TLP na CUF- ACT walikuwa kidogo werevu maana waliweza kutumia key figures Ku is am bar at is ha

Yaani ni sawa na mzazi kumlea mtoto kwa taabu na mateso mengi kisha umkatae au umfanyie figisu asifanikiwe

Mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi ulinia kutumia uchaguzi ndani ya CHADEMA kukipasua.. Ikashindikana.. Ndio wakaja na plan B ya CHAUMMA.. kwa bahati mbaya sana "wali pick wrong figures"
Kwa kosa hilo kubwa kwa sasa chaumma ni mwendo wa maumivu .. Yaani kimeshajibemenda hata kabla ya kwanza kutambaa.
Igweeee...!!!!
Akina Mrema na Kigaila walidanganywa kwamba Wenje anahama na wanachama wengi sana kanda ya ziwa.

Ndiyo maana wakawekeza nguvu zao Mwanza wakijua kuna ujio mkubwa wa wanachama. Wenje kawapiga chenga. Ndiyo maana Mrema akawa analalamika na kuwaonyesha kwenye simu yake akina Kigaila na Kiwanga kuwa jamaa nampigia simu haipatikani wala hajibu msg. Hii kitu iliwachanganya akili.

Issue ya helicopter ilikuwa ni mbwembwe tu hakukuwa na Helicopter waliyo kodi. Kama watabisha waombeni risiti ya kukodi hiyo.
 
I can't urge with you nigga
take that point as reference to argue with others JF stakeholders.

It's very important to have political parties growth records before coming up with unreasonable conclusions 🐒
 
take that point as reference to argue with others JF stakeholders.

It's very important to have political parties growth records before coming up with unreasonable conclusions 🐒
Reasonable doubt

All I know uli join sisiem because you never had better option
(Surviving career)
 
Washauri wake wakuu kina Lusungo Fundi Mchundo Ngongo Stuxnet hawapikiki chungu kimoja na Lissu....hivyo hawawezi kumshauri hili.
Japo mimi siyo mshauri wake kama unavyodai lakini Mbowe yuko mbele ya CHADEMA.

Mwenyekiti wenu Tundu angekuwa anasikiliza ushauri asingekuwa ananyea debe Ukonga leo.

Haya mambo hayataki uropokaji, bali hekima na busara tu. Tundu ni DIKTETA mbaya kama Magufuli tu, na ndiyo maana walipigana risasi
 
Utafiti haukufanyika kwa umakini kujua udhaifu na nguvu ya chadema, hivyo njia zinazotumika kuiua chadema ni za kizamani. Kila kitu kinakwenda na wakati. Chadema ime survive almost 10 years kama chama kikuu cha upinzani kina mizizi huku chini na udhaifu wa ccm ndiyo nguvu ya chadema kwa sasa. kinapendwa na wananchi kwa misimamo yake na mataifa ya nje. Mbowe amesaidia sana kukiimarisha kwa uchaguzi wenye credibility jan 21. kwa sasa it is too late kukidhoofisha. Hata kama kitashindwa kuwa chama kikuu cha upinzani na akawa ACT au CHAUMMA kiufundi na kimagumashi, Chadema kitaendelea na title ya kuwa chama KIKUBWA nchini nyuma ya CCM.Mimi siyo mwana chadema au CCM ila haya ni maoni yangu huru.
Mkuu sio swala la uchama,huu ulioongea ndio ukweli kabisa!
 
Ubwabwa maharage imepokea watu na vyeo vyao
Hao wafia vyeo watatimuliwa na Mzee Sasa hivi maana kuna atakayeutaka umwenyekiti na uraisi . Patavurugikaaaaa
 
Waswahel wanasema.. Nyotq njema huonekana alfajri.. Na wazungu wanasemq first impression last conclusion..

Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.. Kwakuwa yeyote anaweza kuongea chochote kwa majigambo yote. Lakini akashindwa kabisa kwenye matendo na vitendo

Hivi ndivyo tunavyoweza kuthibitisha kwenye chama cha siasa cha CHAUMMA.. pamoja na majigambo mengi mikutano yake miwili ya kutambulisha viongozi pale Ubungo plaza na ule wa hadhara uliofanyika Mwanza imefeli big time!

Project CHAUMMA ililenga kukipasua na kukidhoofisha chama tishio cha CHADEMA.. Lakini waandaji na wafadhili wa hii project walisahau CHADEMA SIO NCCR MAGEUZI kwa TLP wala sio CUF kwa ACT- WAZALENDO.. Vyama ambavyo vilikuja kumalizwa kizembe na mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi

Naweza kusema pamoja na mahitaji ya nyakati na uelewa wa wananchi kuongezeka lakini walioandaa project za NCCR-TLP na CUF- ACT walikuwa kidogo werevu maana waliweza kutumia key figures Ku is am bar at is ha

Yaani ni sawa na mzazi kumlea mtoto kwa taabu na mateso mengi kisha umkatae au umfanyie figisu asifanikiwe

Mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi ulinia kutumia uchaguzi ndani ya CHADEMA kukipasua.. Ikashindikana.. Ndio wakaja na plan B ya CHAUMMA.. kwa bahati mbaya sana "wali pick wrong figures"
Kwa kosa hilo kubwa kwa sasa chaumma ni mwendo wa maumivu .. Yaani kimeshajibemenda hata kabla ya kwanza kutambaa.
Igweeee...!!!!
Mshana Jr utatunyima uhondo siku zote habari zako huwa na vielelezo kuwasaidia wasiojua kusoma na kuandika vipi waionea aibu hii ya Mwanza?
Fanya mambo Bwana watu wajionee
 
kwanini hii ni habari njema, ya kufurahisha na ya matumaini sana kwa chadema gentleman?🐒
IMG-20250604-WA0009.jpg
 
Back
Top Bottom