Chatu afa baada ya kumeza Nungunungu

Chatu afa baada ya kumeza Nungunungu

Njaa ni mbaya saana.

Huu ni mfano tosha saana kwa watz muda huu ... njaa zetu zisitufanye tuuze hii nchii .. tutakuja kuuishia pabaya .. ikiwa ni pamoja na ww mpokea rushwa na mto rushwa.
 
Anaconda na Chatu kuna tofauti gani?

na ndiyo maana wakaitwa python na anaconda na kwakuwa unatumia internet sasa si vibaya pia ukashughulisha ubongo wako kwa kwenda tu google kisha type hayo majina mawili uliyoyataja hapo na watakupa kila kitu chao unachokihitaji na utaelimika zaidi kuliko kuendeleza tabia ya kitanzania ya kutaka kutafuniwa kila kitu kwani uzembe na uvivu huo ndiyo umetufikisha hapa kama taifa na watu mmoja mmoja. swali lako halina tofauti sana na kuuliza kuna tofauti gani kati ya klabu ya yanga na simon msuva?
 
Duh hapo sasa familia ya nungunungu ijipange!!! Maana yatakayofuata hapo ni tatizo wakija akina anaconda na wapambe wao
 
Tena ni watamu sana, kitimoto aende course!! nyama yake nyekundu sana na laini, we acha tu, halafu vitu vya ajabu ajabu ndio vitamu haswa!!!

mkuu ume gonga pale pale. kwanza nyama yake ni aghari sana katika hoteli za kule mbugani.
 
aliyokuwa anamkaba akuhisi kama kuna vitu vinamchoma choma..!? au aliendelea kujiaminisha kwamba kila king'aacho ni dhahabu.....!?
R.I.P chatu...

yeye alizuga kwa kukausha kama anvyofanyaga kobe, sasa jamaa akampiga lublicany yake akajua kamaliza kazi, kumbe mwana nungu nungu kabana kimahesabu sana anamlia mingo tu amlipue.
 
He just wanted something for a dinner.... rip chatu

Probably the porcupine waz very hunger following long hours of fasting as u know the prevailing situation of this month.
 
Back
Top Bottom