respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,843
Oooh Maskini.. kwahiyo wamepoteza vivutio vya utalii viwili kwa wakati mmoja..!! Pole zao mingi.
BACK TANGANYIKA
BACK TANGANYIKA
iwe funzo kwa wana ccm
Hivi chatu wanakula simba na chui?
Labda huyo chatu alikuwa na tatizo la macho, alimwona nungunungu akadhani ni kalunguyeye!
Watanzania tukikubali kuwapa chadema/ ukawa hii nchi tutakuwa sawa na huyo chatu. Lazima nchi yetu itaharibiwa vibaya.
Mandla.
Kwahiyo Ndiyo Kusema Hapo Kuwa Sterling Wa Picha Kafa Na Kubwa La Maadui Nae Kafa Hivyo Hakuna Mshindi Wala Mbabe Hapo au?
fisad lowasa ni nungunungu..chatu ni msfisad ya cc ccm....acha wehu wamalizane sisi tupo tayar kwenda makaburin kuzika
Mhh hatari,huyu mnyama nungunungu analiwa?..
Hivi chatu wanakula simba na chui?
chatu huko aliko anajutia uchu wake, nungunungu anacheka kamaliza uonevu wa jamaa (chatu).
kwani wanyama walifa wanakwenda wapihuko aliko wapi!?
Duu.. kwanini nungunungu hakutoa miba yake kabla hajaliwa/mezwa?
hao uliowataja ni habari nyingine mkuu na ni zaidi ya huyo nungu nungu wenu.