Labda huyo chatu alikuwa na tatizo la macho, alimwona nungunungu akadhani ni kalunguyeye!
imebaki historia tu ....kumbuka ule wimbo wa " sifa za marehemu alikuwa..."Chatu kajutaa kumuona nungu nungu.
duuu.. mkuu una munkari na magamba.bora angemeza ccm kama watanu hivi wanaotuletea zahama nchini
nungu nae si muhuni vile vile...na ndo maana akaamua kumpiga ile style ya "aliyeuza cheni bandia naye kapewa hela bandia"Chatu naye angemuua nungunungu kwanza halafu ndio ammeze.
Nungunungu analiwa na nyama yake tamu sana!Mhh hatari,huyu mnyama nungunungu analiwa?..
Hapo ni Unyama unyamani.
Tena lazima wote tufe kishujaa....Hiyo inaitwa lazima tufe wote
Mbwa kala papai.Mbwa kala mbwa
Hii sina hakika mkuuu.Hivi chatu wanakula simba na chui?
ila chui akidinda wana zenguana kama kawa...mfano ona hapaNa mim huwa najiuliza hilo swali, ila nadhani sio rahisi chatu kumkamata chui
alitaka kujifanya nayeye ni mbavu nene....huyo chatu nae mjinga kwani hakuona kama anachomwa mdomoni, si angemtema mapema kabla hajammeza?? R.i.p wote
thibitisha kauli yako mkuu.Watanzania tukikubali kuwapa chadema/ ukawa hii nchi tutakuwa sawa na huyo chatu. Lazima nchi yetu itaharibiwa vibaya.
Mandla.
kama bosi kufa na tai shingoni.......Chatu kafa kishujaa
ahaaa...CCM njooni msome hapa kuna mfano hai una wahusu.Hii naifananisha kama picha la ccm na lowassa wakikubali kumpa nafasi ya kuiwakilisha kwenye uchaguzi kazi wanayo ya kumsafisha kwa lundo la kashifa alizonazo na kumtosa nayo ni ishu vile vile, kwa hiyo tutalajie yalioyo mpata chatu na nungunungu kwa cmm na lowassa
Uroho ume mponza....Ndo akome!
njaa mwana hara.mu.....chezea njaa wewe
jamaa ukimgusa anakuchana chana na viwembe (miba yake).ule msemo wa usmchezee chatu naona umekuwa vais vesa
wata waweka makumbusho....kwa ajili ya utalii wa vizazi vijavyo.Oooh Maskini.. kwahiyo wamepoteza vivutio vya utalii viwili kwa wakati mmoja..!! Pole zao mingi.
BACK TANGANYIKA
kama noma na iwe noma tu.Eti "bora tufe wote" nungunungu bwana !!!
Alikuwa kamkaushia tu .....Duu.. kwanini nungunungu hakutoa miba yake kabla hajaliwa/mezwa?
Bali yanaacha gumzo sana.maswali mengine hayana majibu!
ahaaaa....mkuu wakikusikia wata umia sanaa...hahahaha october chatu anaenda kuaibika
sijawai kutana na tukio km hilo kwan mazingira ya chatu na chui hayafanan..
Funzo:
Si kila achukuae fomu anafaa kuwa rais!
Ikulu si ya baba'ko
Anaconda na Chatu kuna tofauti gani?
ahaaa..... umesomeka jombaaNjaa ni mbaya saana.
Huu ni mfano tosha saana kwa watz muda huu ... njaa zetu zisitufanye tuuze hii nchii .. tutakuja kuuishia pabaya .. ikiwa ni pamoja na ww mpokea rushwa na mto rushwa.
naaam mkuu, asante...Tofauti zipo kadhaa. Moja ni: Chatu/ Python hutaga mayai na Anaconda huzaa 'live young'.
nungu nungu ni jeshi la mtu mmoja....Duh hapo sasa familia ya nungunungu ijipange!!! Maana yatakayofuata hapo ni tatizo wakija akina anaconda na wapambe wao
ahaaa...na ndo maana chatu alitaka ku test nyama yake aone utamu wake ulivyo.Nungunungu kiboko, ila ananyama tamu, kama ya kuku!
ahaaa....kwahiyo naye ni shababi....Huyo nungunungu alikua na dhumuni la kujitoa mhanga ili awasaidie waliobaki mkuu
hatari sanaTena kinoma...mie nnimeona vema chatu angebaki majeruhi ili akawasimulie masela wenzake kwamba kuna viumbe wengine ni gusa unate , hivyo wenzie wawe makini kwenye mawindo yao.
nungu nungu mkubwa hivyo mkuu? kama ndama vile
Funzo kwa wanawake