Chatu afa baada ya kumeza Nungunungu

Chatu afa baada ya kumeza Nungunungu

Na afe tu sabab tumechoka na tabia yake ya kumeza kila kitu....maana hakuna jinsi nyingine sasa
 
kabla sijaangalia picha hadi mwisho ilikuwa nibishe, sijawahi ona nungu nungu mkubwa kiasi hii.

Mkuu kuna nungu nungu wakubwa kinoma...ila kalunguyeye ndiye mdogo na harushi miiba yake kama nungu nungu.
 
Chatu mbulula kweli huyu........alitakiwa ammeze kwa mbele........kakosea timing kammeza kwa nyuma.......ona sasa.........
 
Chatu mbulula kweli huyu........alitakiwa ammeze kwa mbele........kakosea timing kammeza kwa nyuma.......ona sasa.........

Ange mmezaje kwa mbele , ufafanuzi plz?
 
Kumbe chatu ni kama yalivyokuwa mabasi ya uda ya china yaliyokuwa yanaitwa ikarus kumbakumba hayakuacha wasafiri .chatu alishindwa kubeba abiria ,kazi kwake !
 
Kumbe chatu ni kama yalivyokuwa mabasi ya uda ya china yaliyokuwa yanaitwa ikarus kumbakumba hayakuacha wasafiri .chatu alishindwa kubeba abiria ,kazi kwake !

Acha uwongo wewe,Ikarus na China wapi na wapi??
 
Back
Top Bottom