Inawezekana anapga kampeni za kmyakmya. Si umeona amefika hadi fainali?
Mwisho wa picha lazima adui kuu life.
Arabela anakwala hii taji...
charminglady kila mara anagombea utafikiri lipumba bhana! Awaachie na wenzie nafasi, hata mie namkubali na nilihusika kumchagua.......ila this time tumgee Arabela wajameni!!Kizuri chajiuza bhana! Chariminglady kifaa achana na lara 1 na cielo kwanza viruka njia halafu mabonge kama Tembo wala hawafai kuwa mamiss wa Chit-Chat ndio maana wanatumia nguvu nyingi kupiga kampeni
Halafu wanagombania wanaume za watu imefikia hatua wananitaka hadi mimi wakati wanajua niko na Amyner na kamwe sitakuja kumwacha NG'OOOOO ila wanakomaa na mimi.....nasema SIWATAKI lara 1 na cielo labda Kipipi (Mwaaaaah)
charminglady kila mara anagombea utafikiri lipumba bhana! Awaachie na wenzie nafasi, hata mie namkubali na nilihusika kumchagua.......ila this time tumgee Arabela wajameni!!
I know that you are aware that you are trying to mislead your fellow members, better if you stop.
Hahahahaaaaaaa eti amekuwa kama Lipumba lolcharminglady kila mara anagombea utafikiri lipumba bhana! Awaachie na wenzie nafasi, hata mie namkubali na nilihusika kumchagua.......ila this time tumgee Arabela wajameni!!