Too much of s'thing is harmful loh...
Kama unatumia LIMBWATA(dawa ya mapenzi) si uwagawie na ladies wenzako nao wapapatikiwe!
Si alisema mwenyewe kua alienda kusafisha nyotahututakii mema mdada, kama ana hiyo dawa abaki nayo tu maana kashazoea..
Si alisema mwenyewe kua alienda kusafisha nyota
Ila katika kushafisha Mzee masapila akazidisha doz
Kwa kutumia JF ndani ya chitchatamesema hataki kutajwa mnamtaja kwanini?
ummu kulthum upo best? kaogee mpapa na wewe utajweeeeeeeeeee mpaka! lol!amesema hataki kutajwa mnamtaja kwanini?
lahaula! khaaaaaaa, aiseeeee haya charm hebu njoo dadavua hizi tungo humu ndani! kufanya vidume vya watu humu kutwaaaaaaaa mitarimbo ipo hewani wanakuwaza, haya njoo uwape tiba, na urudi kwa mganga wako akupake mmavimavi, maana huo mti wa mpapa haufai!

Kwa ukimya huu wa bibie Charmy ndiyo kusema keshatimiza nadhiri au ?