Charlie Hebdo: Makanisa yachomwa moto Niger

Charlie Hebdo: Makanisa yachomwa moto Niger

Status
Not open for further replies.
Mbaya zaidi hawajui kuwa Mungu anadhalilishwa kwa dhambi za binadamu na anajali hilo kwa sababu linampeleka mwanadamu motoni, lakini wanafikiri mtume ndio Mungu
Hii dini ina matatizo makubwa sana na wanaojua hili basi wanabaki kwenye dini hiyo kwa sababu tu wanaogopa wakitoka basi ndugu zao watawatenga. Hii ni cult kubwa sana na inawapeleka wengi mno jehanam!
Kama mtu hauoni shauri yako,akili kumkichwa!imani za visasi,ya hasira pasipo kufikiri,ya kuuwa,za kulazimisha,zisizo na unyenyekevu,za ushirika na majini,za chuki na kutokusamehe.
Wewe utajua mwenyewe ipi ni ipi,hamna haja mtu kuhukumu dini ya mtu mwingine ndiyo aliyoipenda mwenyewe.
 
Kuchora wachore Atheist wa Ufaransa(wale jamaa waliuwawa hawaamini katika mungu wala dini). Cha kushangaza waafrika wachome makanisa ya wakristu waafrika wenzao?. Mbona huu ni ujuha?.

Kuna tatizo hapa katika msingi mzima wa ilm ya dini ya hao watu.
Tatizo waafrika imani hizi za kuletwa tunazifanya kama ushabiki wa mpira. Mbona hatujawahi kusikia saudia, omani, kuwait, UAE, Qatar, Bahrain na Jordani wameandamana?. Au kuna uhusiano pia na umaskini, Je umaskini na ushabiki wa dini vinaendana?.
 
Kuheshimiana katika imani za dini tofauti ni kitu muhimu sana. Viongozi wa dini wengi hapa duniani wangekuwa na msimamo kama wa Pope Francis kwamba waumini wa dini moja wasifanye dhihaka dhidi ya wale wa dini nyingine kuhusiana na dini yao basi incidents kama hizi zingepungua sana au kutokuwepo kabisa.
Kama unachokinena ndicho alichosema Pope Francis basi anataka Ku intensify vurugu na ujinga wa waislam. Kwani Charlie Hebdo ni dhehebu gani!?, yeye angewaasa watu wote kupendana na kulipiza visas I.
 
Pope ni mchochezi sana..kova amkamate na kumfungulia mashtaka
 
Hata Mbagala walifanya hivyo hivyo
. Inaonekana hawa jamaa ni mila na desturi zao kufanya vurugu
 
Waislam bwana,hivi wanachukia kwani wanaijua sura ya Mohomed?mimi YESU akichorwa wala sijali,wamchore tu,dhambi ni zao,kwanza hakuna anaejua sura ya Yesu,hata wakimchora itakuwa siyo yenyewe
Ulisikia wapi waislamu wakimchora Yesu?Waislamu hawana ujinga huo,wakumchora Yesu.
 
Hii KAULI ya PAPA hii..!! Itabadili sana mambo. Sijui aliongea kwa bahati mbaya!??
 
Kama unachokinena ndicho alichosema Pope Francis basi anataka Ku intensify vurugu na ujinga wa waislam. Kwani Charlie Hebdo ni dhehebu gani!?, yeye angewaasa watu wote kupendana na kulipiza visas I.

Kwani papa alisema ni wakristo ndo hebdo!?
 
Kuheshimiana katika imani za dini tofauti ni kitu muhimu sana. Viongozi wa dini wengi hapa duniani wangekuwa na msimamo kama wa Pope Francis kwamba waumini wa dini moja wasifanye dhihaka dhidi ya wale wa dini nyingine kuhusiana na dini yao basi incidents kama hizi zingepungua sana au kutokuwepo kabisa.

Dhihaka inaanzia na kuishia wapi ?
Yesu sio Mungu ni sifa ni dhihaka ?
Wakisema Issa bin Mariam sio mungu ni fact lakini kumsilimisha Yesu kuwa Issa ni zaidi ya kumchora kibonzo.
Tuache unafiki
 
Wala msilalamike simeanza kudharau imani za wezenu hakuna kitu km kuheshimu imani ya mwenzio awe anaabudu ng,ombe awe anaabudu mwezi heshimu imani ya mwenzangu km kungekuwa na heshima ya kuheshimiana imani zetu yasingetokea haya siku zote anaelipiza huvuka mipaka daaah hatareee

Yesu kuwa Mungu kwangu inawahusu nini waislam ?
Nikisema issa sio Yesu ni ukweli na kumfanya Yrsu kuwa Issa ni kashfa kubwa kwa vile Issa sio Mungu.
Waanze kujiheshimu na kuheshimu imani za wengine then na wengine wataheshimu imani yao kwa mbakaji WA watoto
 
Sioni imuhimu wa waislam kupaniki kwa picha za kuchora, ila iyo haiondoi ukweli kuwa hao wanaodhiaki Mtume wa waislam ni mapumbavu ya milenia.
Ivi kama haumtambui mtume mhummad then picha yake unaitambuaje mpaka uichore?
Ni ujinga mkuu unaofanywa na ayo majamaa. Siwezi kuunga mkono upuuzi huu. Wakristo tujikite kumwabudu muumba tunayemuamini na waislam kivyao. Huu upuuzi wa dhiaka ukome wala hauna utukufu ndani yake. Simwamini mtume na pia siwezi kumkashifu kiivi!! Walaaniwe!!

Yesu sio Mungu ni dhihaka au heshima ?
Inatakiwa "mpumbavu ajibiwe kadri ya upumbavu wake ili asjeonekana mwenye busara machoni pa watu wengine"
Wakiheshimu imani za wengine na za kwao zitaheshimiwa japo ni za kipuuzi.
Tuache unafiki. Unafiki na ukristo ni mbali sana
 
Kuna mtu hapa TZ alisema Yesu sio Mungu, alifunguliwa mashtaka na kufungwa miezi 18, hapa napo unasemaje????
ulisoma wapi au ulisikia wapi Christians wameandamana na kuchoma misikiti kwa ajili ya hiyo kauli?
 
Tatizo nyinyi hamjui dining ya kweli ni IPI nilikua nafanya kazi sehemu Fulani na wazungu wahindi ikifika diwalii hua wanafanya sherhe na tunapata break tunakula vyakula nikamuuliza maneger vipi na sis I waislam tukifanya itakuaje mtataka akanambia uislam ni dini na ndio maana huwezi kuuchezea Hindi Christian ni dini za kupnga tu na ndio maana unachewa tu

Muambiwe Mara ngapi muelewa UKRISTO SIO DINI.kuandika ukristo ni dini ni kukashfu.
 
Muambiwe Mara ngapi muelewa UKRISTO SIO DINI.kuandika ukristo ni dini ni kukashfu.
unaelewa maana ya dini? unaelewa kwa kina kweli maana ya hilo neno dini kwa kina au unazingatia jinsi ulivyokaririshwa, tena kwa lugha usiyoijua? au unapayuka tu!!! dini dini dini!!! UNAElewa aana yake wewe. Angalia usije ukawa ni muumini wa dini ile ambayo munguwao huwa hasikii sala za kisawahili/ kinyiramba/kinyaturu/ kinyatuzu,/kikaguru
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom