Charlie Hebdo: Makanisa yachomwa moto Niger

Charlie Hebdo: Makanisa yachomwa moto Niger

Status
Not open for further replies.
Sisi tunakutandika hata ukimdhihaki Yesu Alayhi Salaam, ole wako umdhihaki tukujuwe.

Hapo Tu umeandika Yesu alayhi salaam ni kumkashfu Yesu.
Mnafahamu Kabisa Issa si kitu chenye thamani kwa Wakristo kwa ujanja WA kijuha palipo Issa mnaweka Yesu ili kumpa Issa sifa za Yesu.

Hiyo ni zaidi ya kumchora Yesu kibonzo
Andika Issa Alayhi Salaam.
 
Sasa hao waislam hawajui kwamba huyo Charlie Hebro ni atheist na gazeti lake haamini katika ukristo wala dini yoyote ndio msimamo wake na gazeti lake.
 
Miafrika ndivyo tulivyo, katuni ichorwe Ufaransa, makanisa yachomwe Niger. Wafaransa wenyewe wametulia tu. Dini zenyewe tumeletewa na waarabu na wazungu halafu sisi ndio tunajifanya kuzifahamu sana.Tunahitaji kujitafakari akili zetu zilivyo. Wakati sisi tunavyoshabikia haya wazungu wanazidi kuchanja mbuga tu kwenye ugunduzi wa mambo mbalimbali ya kisayansi na sisi tutaendelea kuwa soko lao...poor Africa, I can not stop crying for you!
 
Yesu kuwa MUNGU au KUTOKUWA inakuletea ugali mezani, au inakupatia ada ya watoto shuleni.

Mkuu hzi ni IMANI tu. Unaweza ukaanza amini hata ng'ombe na ukawashawishi wafuasi wako ndio MUNGU WAKO.

YANINI KUTETEREKA NA KILE UNACHOAMINI, ?

Kwa nini uhangaishwe na Imani Yangu. Nani kakwambia kula na Shule ya watoto ndiyo vipaumbele vyangu.
Fikiri zaidi ya hapo.
 
Sasa hao waislam hawajui kwamba huyo Charlie Hebro ni atheist na gazeti lake haamini katika ukristo wala dini yoyote ndio msimamo wake na gazeti lake.

Nini sasa kilimkereketwa hadi akaanza dhihaki uislam.?

Je! Amewahi dhihaki ukristo?
 
Nini sasa kilimkereketwa hadi akaanza dhihaki uislam.?

Je! Amewahi dhihaki ukristo?

Fanya utafiti japo kidogo I'll ujue amechora Sana vikatuni kuvifanya ni Yesu na kuandika mambo mengi Sana.lakini kwa Wakristo sio big deal kwa kuwa Yesu Kristo you hai mbinguni.
 
Hapo Tu umeandika Yesu alayhi salaam ni kumkashfu Yesu.
Mnafahamu Kabisa Issa si kitu chenye thamani kwa Wakristo kwa ujanja WA kijuha palipo Issa mnaweka Yesu ili kumpa Issa sifa za Yesu.

Hiyo ni zaidi ya kumchora Yesu kibonzo
Andika Issa Alayhi Salaam.

Safi,we ni mwelewa..
 
unaweza kukuta mchoraji wa hiyo katuni hata dini hana ila maksnisa ndo yanachomwa tena mbali kabisa na ufaransa.. kama sio upumbavu ni nini?..
 
Waislam bwana,hivi wanachukia kwani wanaijua sura ya Mohomed?mimi YESU akichorwa wala sijali,wamchore tu,dhambi ni zao,kwanza hakuna anaejua sura ya Yesu,hata wakimchora itakuwa siyo yenyewe
Unazungumzia huyu mtoto wa Maryam, mjukuu wa Imran.
 
Ndugu naona umekurupuka na kuuliza maswali yasiyo na mantiki.
Nimeandika Ukristo sio dini sijajua wewe umekerwa na nini hapo.
Au wewe kuwa mkristo kwako ni dini ?
Yaelekea hujui, huelewi hata hufundishiki.
Jisafishe eleza ni kwa vipi ukristo ni dini ...
Ukristo kiuhalisia siyo dini.
Ukristo ni mpango wa Mungu kumuokoa mwanadamu aliye dhambini
Ukristo ni njia,kweli na uzima na hakuna aendae kwa Baba pasipo kupitia Ukristo(YESU).
Ukristo ni maisha mapya ndani ya Kristo Yesu.
Ukristo ni kuzaliwa mara ya pili.
Ukristo ni mfumo wa maisha ya ushindi duniani hadi mbinguni ndani ya Kristo.
Ukristo ni maisha matakatifu ya imani ndani ya Kristo Yesu
Dini ni mpango wa wanadam waliojiwekea wenyewe ili kumtafuta na kumpendeza Mungu.
 
Ndo ushangae sasa,halafu hao Charlie hebdo wenyewe hawaamini kuwa kuna Mungu ,yaani hawana dini,hao wajiga waislamu wanachoma makanisa,wakati wachora vibonzo hata kwenye Ukristo hawamo

Watu wanatumia emotions sana zaidi ya akili, Kwanza hata Uislam hawaufati, inatakiwa mtu akichoma Qurani, wao wachome Bible, akiuliwa Sheikh atafutwe Padri auliwe, sasa kachorwa MUDI,ilitakiwa wamchore JESUS sio wanakurupuka bila hata kufata maandiko yao yanavyosema.
By the dini zipo nyingi si kila anae dhihaki Uislam ni Mkristo.
 
Naomba mjiulize kabla hajachorwa mtume mbona ufaransa palikuwa kimya kama hamna waislam? Tatizo la muislam ni mpaka umuenze wewe na umuanza ikamuingia jua itakosti mara isizo na idadi sasa ufaransa wamejichanganya narudia tena wamejichanganya.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Kuheshimiana katika imani za dini tofauti ni kitu muhimu sana. Viongozi wa dini wengi hapa duniani wangekuwa na msimamo kama wa Pope Francis kwamba waumini wa dini moja wasifanye dhihaka dhidi ya wale wa dini nyingine kuhusiana na dini yao basi incidents kama hizi zingepungua sana au kutokuwepo kabisa.

huo Ndio ukweli. haiitaji shule kujua Natakiwa kuheshimu dini ya mtu mwingine. wanachokitafuta wafaransa watakipata tu
 
Ndugu naona umekurupuka na kuuliza maswali yasiyo na mantiki.
Nimeandika Ukristo sio dini sijajua wewe umekerwa na nini hapo.
Au wewe kuwa mkristo kwako ni dini ?
Yaelekea hujui, huelewi hata hufundishiki.
Jisafishe eleza ni kwa vipi ukristo ni dini ...
aaaaaaaahhhh!!!! ngimba uli nkwesa makambo, ndiyo maaana huelewi hata unachoandika wala nilichoandika, ngoja nikuulize tena, unajua kweli maana ya ya neno dini au unakurupuka na kuposti kwa sababu umekaririshwa na wenzako? jibu hilo tu
 
Yesu sio Mungu ni dhihaka au heshima ?
Inatakiwa "mpumbavu ajibiwe kadri ya upumbavu wake ili asjeonekana mwenye busara machoni pa watu wengine"
Wakiheshimu imani za wengine na za kwao zitaheshimiwa japo ni za kipuuzi.
Tuache unafiki. Unafiki na ukristo ni mbali sana

Unajua maana ya dhihaka au kuheshimu wapi waislamu walimchora yesu katuni na kuna ushahidi gani ya kuwa muhammad katuni.

Unapooana muislamu anajibizana na mkristo ujue kuna makubaliano na watu hukaa kwenye majukwaa baina ya wakristo na waislamu kukosoana na hawakosoani kwa pumba wanakosoana kwa ushahidi wa vitabu na mifano hai na jaribu kufatilia hayo makongamano utaona hata wakristo wanasema maneno mabovu lkn waislamu hawajali kwa vile ni kongamano.

Tofaotisha uhuru wa majadiliano wa kukaa majukwaani na uhuru wakutokuwepo huko sawa mkuu
 
huo Ndio ukweli. haiitaji shule kujua Natakiwa kuheshimu dini ya mtu mwingine. wanachokitafuta wafaransa watakipata tu

Unajua ninyi waislamu sijui MNA tatizo kwenye kufikiria!!?

Aliyekuambia aliyechora kikaragosi cha mohamed ni mkristo ni nani?

Tatizo waislamu kila mzungu wanafikiri ni mkristo!!Hilo gazeti la Charlie mara kadhaa limechora katuni za Yesu lakini kutokana na uvumilivu wa wakristo lilipata hasara kwa sababu ya kutonunuliwa.
Sasa nyinyi kutokana na mafujo yenu limeuza nakala za kuvunja rekodi na mpaka sasa wanaandaa vikatuni vingine vingi vya mohamedi!!!!

Mnachopaswa kujua in kwamba SI KILA MZUNGU NI MKRISTO!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom