Charlie Hebdo: Makanisa yachomwa moto Niger

Charlie Hebdo: Makanisa yachomwa moto Niger

Status
Not open for further replies.

E109

Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
92
Reaction score
67
150117000021_niger_640x360_afp_nocredit.jpg

Maandamano dhidi ya uchapishaji wa vibonzo vya mtume Mohammed nchini Niger.

Ripoti kutoka Niger zinasema kuwa makanisa matatu yamechomwa katika mji mkuu wa Niamey katika siku ya pili ya maandamano dhidi ya uchapishaji wa vibonzo vya mtume Mohammed uliofanywa na gazeti la vibonzo la Charlie Hebdo.

Baadhi ya biashara zimeripotiwa kushambuliwa kama vile vibanda vya kampuni ya simu ya Orange.

Ubalozi wa Ufaransa umewataka raia wake wanaoishi mjini Niamey kusalia majumbani mwao

150117141817_niger_640x360_n_nocredit.jpg

Waandamanaji wachoma makanisa Niger .

Polisi wa kukabiliana na ghasia kwa sasa wameweka ulinzi mkali katika kanisa la Cathedral mjini humo ambapo makundi ya vijana wanaowarushia mawe.

Siku ya ijumaa watu wanne walifariki huku wengine 45 wakijeruhiwa baada ya waandamanaji kuyapekua makanisa matatu kabla ya kuyachoma mbali na kukichoma kituo kimoja kilicho na utamaduni wa Ufaransa huko Zinder.

Chanzo: BBC Swahili
 
Waislam bwana,hivi wanachukia kwani wanaijua sura ya Mohomed?mimi YESU akichorwa wala sijali,wamchore tu,dhambi ni zao,kwanza hakuna anaejua sura ya Yesu,hata wakimchora itakuwa siyo yenyewe

The Almighty God (Jesus) (if at all he/she exists anyway!!!!!!!!!!!!!!!!!!!) ana nguvu kuliko chochote, sina haja ya kumpigania!
 
Kuheshimiana katika imani za dini tofauti ni kitu muhimu sana. Viongozi wa dini wengi hapa duniani wangekuwa na msimamo kama wa Pope Francis kwamba waumini wa dini moja wasifanye dhihaka dhidi ya wale wa dini nyingine kuhusiana na dini yao basi incidents kama hizi zingepungua sana au kutokuwepo kabisa.
 
Wala msilalamike simeanza kudharau imani za wezenu hakuna kitu km kuheshimu imani ya mwenzio awe anaabudu ng,ombe awe anaabudu mwezi heshimu imani ya mwenzangu km kungekuwa na heshima ya kuheshimiana imani zetu yasingetokea haya siku zote anaelipiza huvuka mipaka daaah hatareee
 
uislam ukihadhikiwa ulaya kuna haja ya kuchoma nyumba ya jirani yako kisa mkristo? jirani unayesaidiana naye na anaweza kukupeleka hospitali ukiwa unaumwa? Hapo tu ndio huwa mnanishangza waislam kila upuuzi kuunga mkono.

yani pamoja na papa kutoa msimamo ambao ni kama msimamo wa wakristo wengi duniani, kulikuwa na haja kweli ya hao waafrika kuchoma makanisa ya majirani zao???

MziziMkavu njoo utoe ilimu huku ukisaidiana na dada yetu FaizaFoxy!
 
Akili za kiafrica wenye dini zao huko Oman,Mecca na Madina wametulia hawa wasiopenda shule kazi yao kuua ndugu zao,jirani,madaktari,walimu nk.Hivi dini gani hii ya kukosa akili,aliyemdhihaki huyo mtume huko Ufaransa ww unachoma kanisa Nigeria.Then unataka tuone Mungu wako ni wa amani.Realy???Mbinguni mtaendelea kupasikia.Ukikosa elimu hapa duniani ya kuishi kwa upendo na wenzio usitegemee kupata elimu hiyo mbinguni.
 
Sioni imuhimu wa waislam kupaniki kwa picha za kuchora, ila iyo haiondoi ukweli kuwa hao wanaodhiaki Mtume wa waislam ni mapumbavu ya milenia.
Ivi kama haumtambui mtume mhummad then picha yake unaitambuaje mpaka uichore?
Ni ujinga mkuu unaofanywa na ayo majamaa. Siwezi kuunga mkono upuuzi huu. Wakristo tujikite kumwabudu muumba tunayemuamini na waislam kivyao. Huu upuuzi wa dhiaka ukome wala hauna utukufu ndani yake. Simwamini mtume na pia siwezi kumkashifu kiivi!! Walaaniwe!!
 
Tatizo nyinyi hamjui dining ya kweli ni IPI nilikua nafanya kazi sehemu Fulani na wazungu wahindi ikifika diwalii hua wanafanya sherhe na tunapata break tunakula vyakula nikamuuliza maneger vipi na sis I waislam tukifanya itakuaje mtataka akanambia uislam ni dini na ndio maana huwezi kuuchezea Hindi Christian ni dini za kupnga tu na ndio maana unachewa tu
 
uislam ukihadhikiwa ulaya kuna haja ya kuchoma nyumba ya jirani yako kisa mkristo? jirani unayesaidiana naye na anaweza kukupeleka hospitali ukiwa unaumwa? Hapo tu ndio huwa mnanishangza waislam kila upuuzi kuunga mkono.

yani pamoja na papa kutoa msimamo ambao ni kama msimamo wa wakristo wengi duniani, kulikuwa na haja kweli ya hao waafrika kuchoma makanisa ya majirani zao???

MziziMkavu njoo utoe ilimu huku ukisaidiana na dada yetu FaizaFoxy!

Nashangaa hii habari magazeti ya Tanzania hayajaiandika na ipo toka juzi (au wameandika sijaona?):

Pope Francis: 'You cannot make fun of the faith of others'

Pope Francis says there must be limits to free speech when it comes to religion, speaking in reference to the Charlie Hebdo attacks in Paris last week

Pope Francis has weighed into the debate over freedom of expression in the wake of the murderous attacks in Paris, saying that anyone who insults a religion can expect "a punch in the nose".

In provocative remarks which may cause consternation in France, the Pope said that freedom of expression had its limits, especially if it involved insulting or ridiculing religion.

He made the forthright comments to journalists on board his official plane as he flew from Sri Lanka to the Philippines, the two stops on his week-long visit to Asia.

Gesturing towards Alberto Gasparri, a Vatican official who organises pontifical trips and who was standing next to him on board the plane, he said: "If my good friend Dr Gasparri says a curse word against my mother, he can expect a punch in the nose."

Throwing a pretend punch, the Pope said: "It's normal. You cannot provoke. You cannot insult the faith of others. You cannot make fun of the faith of others."

His remarks came a week after Islamic extremists stormed into the Paris offices of the satirical magazine Charlie Hebdo and shot dead 12 members of staff, including some of its best known cartoonists, who for years had poked fun at Islam as well as other religions, including Christianity.
On Wednesday the magazine released a "survivors' issue"which featured an image of the Prophet Mohammed on its front cover.

The edition also included highly provocative cartoons about the Catholic Church.
The Pope did not refer specifically to the magazine but said that insulting religions was unacceptable and dangerous.
"There are so many people who speak badly about religions or other religions, who make fun of them, who make a game out of the religions of others," he said.

"They are provocateurs. And what happens to them is what would happen to Dr Gasparri if he says a curse word against my mother. There is a limit."

Source: Pope Francis: 'You cannot make fun of the faith of others' - Telegraph
 
uislam ukihadhikiwa ulaya kuna haja ya kuchoma nyumba ya jirani yako kisa mkristo? jirani unayesaidiana naye na anaweza kukupeleka hospitali ukiwa unaumwa? Hapo tu ndio huwa mnanishangza waislam kila upuuzi kuunga mkono.

yani pamoja na papa kutoa msimamo ambao ni kama msimamo wa wakristo wengi duniani, kulikuwa na haja kweli ya hao waafrika kuchoma makanisa ya majirani zao???

MziziMkavu njoo utoe ilimu huku ukisaidiana na dada yetu FaizaFoxy!
Kawaulize waliofanya hayo usiniulize mimi tafadhali.Mkuu stineriga Usini Tag tafadhali sana.
 
Waislam bwana,hivi wanachukia kwani wanaijua sura ya Mohomed?mimi YESU akichorwa wala sijali,wamchore tu,dhambi ni zao,kwanza hakuna anaejua sura ya Yesu,hata wakimchora itakuwa siyo yenyewe

Mbaya zaidi hawajui kuwa Mungu anadhalilishwa kwa dhambi za binadamu na anajali hilo kwa sababu linampeleka mwanadamu motoni, lakini wanafikiri mtume ndio Mungu

Hii dini ina matatizo makubwa sana na wanaojua hili basi wanabaki kwenye dini hiyo kwa sababu tu wanaogopa wakitoka basi ndugu zao watawatenga. Hii ni cult kubwa sana na inawapeleka wengi mno jehanam!
 
Tatizo nyinyi hamjui dining ya kweli ni IPI nilikua nafanya kazi sehemu Fulani na wazungu wahindi ikifika diwalii hua wanafanya sherhe na tunapata break tunakula vyakula nikamuuliza maneger vipi na sis I waislam tukifanya itakuaje mtataka akanambia uislam ni dini na ndio maana huwezi kuuchezea Hindi Christian ni dini za kupnga tu na ndio maana unachewa tu

Laiti ungejua kuwa dini hiyo usisemayo ni kitu gani haswa ungelia machozi kwa mshangao mkuu!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom