- Thread starter
- #161
Kwani Ina season 5?
Kwani Ina season 5?
Asimilia kubwa walioangalia prison break walioangalia iliyotafsiriwa kipindi hicho kwenye vibanda umiza.Huu uzi nimeuona juzi nikashangaa, vitu vya miaka 10 iliyopita vimekumbukwa.
Leo ndo nimejua kumbe PB imeingia sokoni ikiwa imetafsiriwa.
Scofield kalamba contract ya kwenda kutorosha wafungwa magereza uarabuni?😀😆
Yale magereza si mchezoScofield kalamba contract ya kwenda kutorosha wafungwa magereza uarabuni?😀😆
Asimilia kubwa walioangalia prison break walioangalia iliyotafsiriwa kipindi hicho kwenye vibanda umiza.
Yaaah imechezewa uarabuni huko gereza moja ni kisanga .... Nje mapinduzi ya Arab spring yamepamba moto ni shidaaKwani Ina season 5?
Sana'a yemenYaaah imechezewa uarabuni huko gereza moja ni kisanga .... Nje mapinduzi ya Arab spring yamepamba moto ni shidaa
5 imezidi uongo...afu wameiharibu sanaKwani Ina season 5?
Ndio maana ina episod chache...tofauti na s01-s04Yaaah imechezewa uarabuni huko gereza moja ni kisanga .... Nje mapinduzi ya Arab spring yamepamba moto ni shidaa
Umejuaje kuhusu hizo asilimia kubwa?
Nafikiri inategemea na rika na lini umeangalia hiyo series.
Kwa walioianza miaka hiyo kabla ya 2010 waliangalia ambazo hazijatafsiriwa.
Nimeangalia 2007 tena kwa kununua DVD og kwenye kibox pamoja pale Salmacone kulikuwa na duka LA movies og karibu na makao makuu ya Toto Africansmfano mimi nimeiangalia 2006 wakati nasubiri matokeo yangu ya kuendelea na masomo...tena sio cd ilikuwa ni kwa pc...bro wangu alikuwa na movie za series na single kama zote...mfano wa single move ilikuwa hell raise,saw,wrongturn 1,the bat,drag me to hell n.k kibongo bongo ilikuwa kanumba inaitwa deception sijui..(hapo sijataja za vibanda umiza kama deadly herous,prey,earstern condors,drive n.k)
sasa enzi zile zilikuwa zimetafriwa? Labda ya yesu tu tena ile ya mwanzo.. sio ile ya mel gbson mpya (nasikia imefungiwa sijui)Nimeangalia 2007 tena kwa kununua DVD og kwenye kibox pamoja pale Salmacone kulikuwa na duka LA movies og karibu na makao makuu ya Toto Africans
Ilikuwa unasikiliza yai lenyewe ..... Siwezi kwanza kuangalia zilizotafsiriwa zinadanganya mnosasa enzi zile zilikuwa zimetafriwa? Labda ya yesu tu tena ile ya mwanzo.. sio ile ya mel gbson mpya (nasikia imefungiwa sijui)
Subtitles si ni maamuzi yakoWalikuwa wanaweka subtitles
Sio mimi walikuwa wameweka wao (bro na wenzake huko walipokuwa wanazichukua)Subtitles si ni maamuzi yako
Huu uzi nimeuona juzi nikashangaa, vitu vya miaka 10 iliyopita vimekumbukwa.
Leo ndo nimejua kumbe PB imeingia sokoni ikiwa imetafsiriwa.
Akikujibu nitag mkuuUna maana kwa Kiswahili??