Character Never Lies! Utamtambuaje Mtu Mwema au Mbaya?

Character Never Lies! Utamtambuaje Mtu Mwema au Mbaya?

Kwa mantiki ya mtu mwema na mtu mbaya, binafsi ninafit kote itategemea tu na mhusika ananisoma vipi, na sijali.

Hayupo mtu mbaya wala mwema wa muda wote. Ila itategemea mawazo yanayomtawala mtu, ama ni ya kujenga ama kuharibu/ubinafsi.
Kwaiyo mawazo tawala ndo yata define huyu mtu anaegemea upande upi. Mfano ukituliza fikra bila kuwa na bias yoyote ukikutana na stranger kuna mawasiliano utayapata kuhusu huyo mtu na utahisi either kuvutwa ama kuwa nae mbali hii itatokana na wewe mawazo yapi yanakutawala maana like attract like.

Upande wa tabia, mara zote nikiona mtu anayependa kujizungumzia sana ama kuzingumzia wengine vibaya muda wote huyo tayari namuweka kwenye kundi la wabinafsi(hafai kuwa nae karibu).
Asante kwa maoni mkuu
Karibu tena
 
Njia za kujua mtu mwena au mbaya zipo mbili tu, za kimwili na kiroho. Wakati mwingine za kimwili huwa zinaonyesha mtu mwema sana ila kumbe ni tofauti, na watu huwa wanaumia hapa.

Njia ya uhakika kabiaa ni ya kiroho, Kiroho unajuaje?, hisia na ndoto tu. Hizi huwa hazidanganyi. Ukiwa vizuri kwenye hii angle, hatari nyingi utaziona mapema kwa watu unaowaamini kimwili.
 
Njia za kujua mtu mwena au mbaya zipo mbili tu, za kimwili na kiroho. Wakati mwingine za kimwili huwa zinaonyesha mtu mwema sana ila kumbe ni tofauti, na watu huwa wanaumia hapa.
 Sawa
Njia ya uhakika kabiaa ni ya kiroho, Kiroho unajuaje?, hisia na ndoto tu. Hizi huwa hazidanganyi. Ukiwa vizuri kwenye hii angle, hatari nyingi utaziona mapema kwa watu unaowaamini kimwili.
Wewe hua unaota kuhusu watu wabaya?
 
 Sawa

Wewe hua unaota kuhusu watu wabaya?
Sio mimi, ila ndio njia sahihi na ya uhakika. Viiongozi wa Kiroho wanajua hilii, ule upande mwingine wanajjua hili na hata wale waliozaliwa hivyo wanajua.

Njia ya kuangalia kimwili huwa haina uahkika wa 100%, au hujawahi kusikia ule wimbo, machoni kama watu (JD FEATURING AY).
 
Sio mimi, ila ndio njia sahihi na ya uhakika. Viiongozi wa Kiroho wanajua hilii, ule upande mwingine wanajjua hili na hata wale waliozaliwa hivyo wanajua.

Njia ya kuangalia kimwili huwa haina uahkika wa 100%, au hujawahi kusikia ule msemo machoni kama watu, miyoni wamejaa unafiki.
Sawa mkuu asante sana
 
Mimi ninachojua ni kwamba kila mtu ni mwema mpaka pale circumstance za maisha zinazosababisha mtu kubadilika. Mazingira, malezi, makuzi, hali ya kipato n.k vinachangia sana katika kubadilisha mtu kuwa mbaya.
 
Ooh Shukran mkuu
Karibu tena
 
Back
Top Bottom