CHAPUTA waonywa mwezi wa Ramadhani

CHAPUTA waonywa mwezi wa Ramadhani

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
57,923
Reaction score
133,965

CHAPUTA wameonywa kuacha mara moja tabia hiyo katika mwezi mtukufu kwani itakuwa sawa na kushinda njaa.

Tuwaombe viongozi wao wa kitaifa na kimikoa kufikisha taarifa hizo kwa wanachama wao
 
View attachment 3546214
CHAPUTA wameonywa kuacha mara moja tabia hiyo katika mwezi mtukufu kwani itakuwa sawa na kushinda njaa.

Tuwaombe viongozi wao wa kitaifa na kimikoa kufikisha taarifa hizo kwa wanachama wao
Huyu Mzee ni mwanachama mwenzetu na yawezekana ni mmoja ya viongozi wastaafu wa kitaifa😀
 
1769959448101.jpg
Get my club name out your fckng mouth

Kwanini usitaje Arsenal? Au kwasababu tuna Kunya?
Na manjesta tuna kunya kweli😃
 
Mimi ni Mkristo na ninafahamu ukristo una misingi yake kama zilivyo dini zingine
Sijahoji wewe ni dini gani ila imani ni uongo wa aibu katika karne hii!. labda kama utahitaji mjadala wakupoteza muda tu kwa kitu ambacho hata wewe unafahamu hilo ni vile tu uamue kukaza shingo!.
 
Back
Top Bottom