Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 7,580
- 13,049
Kobaz acheni wivu basi na raha za watu.
Jibu langu halitabadilikaSijahoji wewe ni dini gani ila imani ni uongo wa aibu katika karne hii!. labda kama utahitaji mjadala wakupoteza muda tu kwa kitu ambacho hata wewe unafahamu hilo ni vile tu uamue kukaza shingo!.
Hahahaha😂Ghafla nimeanza kuwa mkali hadi watoto wangu wamekimbilia kitandani kulala.
Shekhe , shekhe, shekhe 😎.
Hahahaha😂Ghafla nimeanza kuwa mkali hadi watoto wangu wamekimbilia kitandani kulala.
Shekhe , shekhe, shekhe 😎.
Hivi hawajui Raha yake hao.. Ni mwendo wa Kula KITU tight Kila siku.Mimi kama katibu mwenezi wa Chaputa gang, nasema shekhe aache uhuni wa kuingilia uhuru wa faragha.