Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
- Thread starter
- #61
Ndio pigia hesabu 2013-2022Miaka ya juzi juzi?
Ndio pigia hesabu 2013-2022Miaka ya juzi juzi?
Nilichomoka 2011, niliacha hata pale Mkanared sio kituo cha mabus. Kipindi nasoma tulikuwa game zingine tunacheza pale uwanja wa Mkanared.Ndio pigia hesabu 2013-2022
Duh hapo ngumu kipind iko nilikuwa young tuNilichomoka 2011, niliacha hata pale Mkanared sio kituo cha mabus. Kipindi nasoma tulikuwa game zingine tunacheza pale uwanja wa Mkanared.
Ahahaha...mkuu mi Tukuyu Makandana hapo opposite na hospitali 😂Mimi sfio mchaga ni mnyaki wa tukuyu
🤣Duh hapo ngumu kipind iko nilikuwa young tu
Hicho kibao dah.Andaa ngano mafuta na chumvi changanya kisha kanda kwa mda mrefu kiasi kwamba ngano ina legea yenyewe kisha tengeneza madonge yako kulingana na idadi yako unayo taka kisha anza kusukuma then ikunje kama unavyo kunja mkeka itokee umbo hili
View attachment 3427847
Baaada ya hapo utaisukuma tena itokee duara linalo eleweka kisha utaanza kuikaanga View attachment 3427855baada una kuwa una weka mafuta pole pole na uhakikishe chapati yako inakunjika hivi baada ya kuiva vizuri
View attachment 3427860
Hivyo tu ina pendeza jumamos kama hii una amka mapema una andalia familia yako kama wewe ni mwanamke mwaandalie mumeo ili awe ata ana kukumbuka siku za kazi ila sio mwanaume ana sema bora chapati za kazini mzuri no pika vizuri kama hivi
Mda uho nilikuwa kipapa 😂 af nilikuwa sijahamia magomen nilikuwa nakaa kota za jeshi kule
Hicho kibao dah.
Mazingira..Kina nn?
Hahaha, 2010/11 tulikuwa pale Aquinas, ile njia ya Magomeni/ Mkanared tulikuwa tunaitumia sana kipindi mvua ikinyesha sana.Mda uho nilikuwa kipapa 😂 af nilikuwa sijahamia magomen nilikuwa nakaa kota za jeshi kule
Mna zunguka ufukoni kulee so up now upo mtwaraHahaha, 2010/11 tulikuwa pale Aquinas, ile njia ya Magomeni/ Mkanared tulikuwa tunaitumia sana kipindi mvua ikinyesha sana.
Wazee walihamishwa, kwahiyo tulihama ila tunarudi kucheki mazingiraMna zunguka ufukoni kulee so up now upo mtwara
Nikajua bado upo uko nina mda sijakanyagWazee walihamishwa, kwahiyo tulihama ila tunarudi kucheki mazingira
Nilirudi mara ya mwisho 2020.Nikajua bado upo uko nina mda sijakanyag
Mwakan itabidi niendeNilirudi mara ya mwisho 2020.
Mkuu una mkono laini
Milaini hatari
Kaka 😁😁😁😊Upate na supu na safari nne za barrriidi na shoti moja ya konyagi full wikiend murua
Akijibu ni TAG 😊Umejuaje
haweziAkijibu ni TAG 😊