Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,374
- 37,196
Upo wap now... brotherNaomba urudi kwa bill yangu,, 😂 cc Dr am 4 real PhD
Upo wap now... brotherNaomba urudi kwa bill yangu,, 😂 cc Dr am 4 real PhD
Machinga naelekea kinondoniUpo wap now... brother
Yaan, tupo vice versa. Mimi nipo asimwe kitimoto hapa kigamboni kisiwaniMachinga naelekea kinondoni
Sasa ndugu mbona unataka kuharibu mfungo wangu...🤣🤣Upate na supu na safari nne za barrriidi na shoti moja ya konyagi full wikiend murua
Mfungo gani huooo 😅😅😅Sasa ndugu mbona unataka kuharibu mfungo wangu...🤣🤣
Mfungo gani Tena 😂Sasa ndugu mbona unataka kuharibu mfungo wangu...🤣🤣
Mfungo gani huooo 😅😅😅
wakuacha vimiminika tetemeshi...😂Mfungo gani Tena 😂
nilikua nasubir nione hii comentBoy mimi sio madam ni sir
Hahahaha mpk nitoke huku we utakuwa usharud home,Yaan, tupo vice versa. Mimi nipo asimwe kitimoto hapa kigamboni kisiwani
Hatuwezi kuonanaa
Siwezi acha mpk naingia kaburiniwakuacha vimiminika tetemeshi...😂
wakuacha vimiminika tetemeshi...😂
Mshaniponza tayari...🤣
Si ndo kidogo nishangae huyu mwamba Kawa lini tena madamBoy mimi sio madam ni sir
Weekend ndeeeefuuuuHaya mambo ya mgerasi min -me
Mimi napenda sana kypika na chapati ni moja ya vyakuka navyopenda kupika lakini mambo 2 yananipa shida sana kusuka iwe ya roundi na kuifanya iwe lainiAndaa ngano mafuta na chumvi changanya kisha kanda kwa mda mrefu kiasi kwamba ngano ina legea yenyewe kisha tengeneza madonge yako kulingana na idadi yako unayo taka kisha anza kusukuma then ikunje kama unavyo kunja mkeka itokee umbo hili
View attachment 3427847
Baaada ya hapo utaisukuma tena itokee duara linalo eleweka kisha utaanza kuikaanga View attachment 3427855baada una kuwa una weka mafuta pole pole na uhakikishe chapati yako inakunjika hivi baada ya kuiva vizuri
View attachment 3427860
Hivyo tu ina pendeza jumamos kama hii una amka mapema una andalia familia yako kama wewe ni mwanamke mwaandalie mumeo ili awe ata ana kukumbuka siku za kazi ila sio mwanaume ana sema bora chapati za kazini mzuri no pika vizuri kama hivi
Au sionilikua nasubir nione hii coment
Ni kujitoa akili haoSi ndo kidogo nishangae huyu mwamba Kawa lini tena madam
Una kanda harakaMimi napenda sana kypika na chapati ni moja ya vyakuka navyopenda kupika lakini mambo 2 yananipa shida sana kusuka iwe ya roundi na kuifanya iwe laini
Hawakosagi wahivyo maishanNi kujitoa akili hao