DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 2,202
- 4,739
Hahaha shemeji mambo!Mbamizwa katumeni 🥺 💔
Ahahah kwahy una kitambi mzeeChapati ni chakula cha kukunenepesha fasta usipokuwa na tahadhari. Mimi nilishafunga ndoa na chapati ambapo ni kifo tu kitatunganisha. Ni chakula ninachokipenda kuliko vyote hapa duniani.
Ahahah kitabu kigumuuu 😂😂Umenikumbusha Mwanza aisee kule sio chapati za kuchambuka ni chapati za kitabu kabisa.Msosi wangu pendwa kabisaa.
Af uende mangoela pale wasalimie ukitoka hapo njoo uku kama una enda kwa khawa gasia ulizia maeneo hayo utanikutaHahaha zitafika
Fresh mambo vp,Hahaha shemeji mambo!
We mzee ushawahi ishi huku nini?Af uende mangoela pale wasalimie ukitoka hapo njoo uku kama una enda kwa khawa gasia ulizia maeneo hayo utanikuta
😂😂 au bas twende jion leopard au tukazulele majengo kule likonde mdenga kuleWe mzee ushawahi ishi huku nini?
Kule sikuamini sana hasa hasa mida ya jioni😂😂 au bas twende jion leopard au tukazulele majengo kule likonde mdenga kule
Basi twende mkanaledi paleKule sikuamini sana hasa hasa mida ya jioni
Yeah pale fresh, nitapata muda wa kutembelea washkaji karibu na shule yetu.Basi twende mkanaledi pale
Ahaha umesomea magomeni sioYeah pale fresh, nitapata muda wa kutembelea washkaji karibu na shule yetu.
Nilikuwa nacho hadi 2023 ikabidi nianze mazoezi makali ya kukimbia ili kukiondoa. Sasa hivi sina. Ila chapati sintoacha... nilikuwa nakula 5 kwa mara moja pale Golden Fork Sinza ila kwa sasa nakula 2 hadi 3 tu.Ahahah kwahy una kitambi mzee
Ohhh kumbe watoto wa sister immaculataAquinas pale
Kupunguza mwiliNilikuwa nacho hadi 2023 ikabidi nianze mazoezi makali ya kukimbia ili kukiondoa. Sasa hivi sina. Ila chapati sintoacha... nilikuwa nakula 5 kwa mara moja pale Golden Fork Sinza ila kwa sasa nakula 2 hadi 3 tu.
YeahOhhh kumbe watoto wa sister immaculata
Ila naweza nikawa nakufahamu nilikuwa naimba kwahy hapo mt yohaneYeah
Miaka ya juzi juzi?Ila naweza nikawa nakufahamu nilikuwa naimba kwahy hapo mt yohane