Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,583
- 66,264
- Thread starter
- #21
Ukivurunda una elekezwa kwa makofi tu 😂Andaa mahitaji,nikivurunda nielekeze taratibu🤗🤗🤗🤗
Ukivurunda una elekezwa kwa makofi tu 😂Andaa mahitaji,nikivurunda nielekeze taratibu🤗🤗🤗🤗
KabisaMambo ya wanawake na vijana wa kiume kupika!
Wababa ni kuundaliwa
Mwanamke hapigwi!Ukivurunda una elekezwa kwa makofi tu 😂
Mkuu niwie radhi sikufahamu hilo!,Nisamehe sana 🙏Boy mimi sio madam ni sir
Kivipi ikawa shida?Shida ya wachaga ni pombe 😂
UsijarMkuu niwie radhi sikufahamu hilo!,Nisamehe sana 🙏
Mna ipenda sanaKivipi ikawa shida?
Hiyo sio shida bwashee , baada ya kazi huwa tunajipongeza , hiyo ndio starehe yetu.Mna ipenda sana
Kwa kweliiHiyo sio shida bwashee , baada ya kazi huwa tunajipongeza , hiyo ndio starehe yetu.
Ene wei ,chapati ni nzuri sana , sema binafsi nakuaga na tamaa nazo ila siwezagi kula zaidi ya moja, unakuta nimeshakinaiKwa kwelii
Kwelii ukiona zina kinaisha mpishi kalundikaEne wei ,chapati ni nzuri sana , sema binafsi nakuaga na tamaa nazo ila siwezagi kula zaidi ya moja, unakuta nimeshakinai
Inakuaje mkuuChemsha mafuta..ndio utie kwenye ngano..halafu uone huo mnyambuko wake
Ana maanisha mafuta ya kukandia ngano yawe na uvugu vuguInakuaje mkuu
Wasalimie chuno 😂Uzi murua.
Mbamizwa Tukuyu.Mimi sfio mchaga ni mnyaki wa tukuyu
Mbamizwa katumeni 🥺 💔Mbamizwa Tukuyu.