Chapati ya kuchambuka inavyo pikwa

Chapati ya kuchambuka inavyo pikwa

Nimejaribu sana,na nimekanda kwa staili nyingi sana,mfano kwa majinya baridi,maji ya uvuguvugi,nimekanda kwa siagi na kwa mafuta lakini sijaweza kufanikiwakufanya ziwe laini kama nazoziona kwenye mitandao
Umenichekesha sna hapa upo wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom