ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,116
- 5,370
Hata mume/mke/lovemate hupata wivu pale anapofananishwa na mtu mwingine.Mungu anasema yeye ana wivu linapokuja swala la kumfananisha na miungu mingine.
Kwake wivu sio udhaifu ila ni sifa yake ya utambulisho.
Mungu hana wivu wa mapenzi/ husuda mliyonayo nyie wazinzi wa uzao wa nyoka
Mfano kama ulizoea salamu ya kiss ni kwa ajili yako, siku mpenzi wako akisalimiana na njemba nyingine kwa kiss kuona wivu hapo ni kawaida. Hata Mungu kuna vitu anataka afanyiwe yeye tu na sio miungu wengine.