Chanzo cha wivu wa kimapenzi ni nini!?

Wivu katika asili yake ni hisia hasi ndani ya nafsi ya mtu. Hisia hii hujidhihirisha
pale ambapo mwenye kuwa na wivu anapokuwa mbinafsi kwa maana ya kujihisi yeye bora zaidi au kujidhani anastahili kuliko wengine wanaomzunguka.

Jambo jingine linalochochea wivu ni “kutokujisikia salama”(insecurity) kwa maana ya kuwa na hofu ya kupoteza heshima, umaarufu au maslahi fulani.
 
Sawia kabisa!!

Kwamba wivu maana yake ni choyo, kutotaka na wenzako wafaidi kama wewe!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah kwa sababu nature ya binadamu kilichokitamu anataka ale peke yake sasa we jiulize anaenda kufanya usaliti ni mwingine tena anaenda kutumia viungo vyake vya mwili wake sasa kwa nini unaumia wewe kama sio uchoyo, Utasikia tatizo akipata ugonjwa au mimba je? Jibu lake hapa ni kuwa kwa nini usimshauri nenda dear ila tumia kondom

Yaaani Billie, upo sawa kabisa, japo na wewe una wivu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom