Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,323
- 6,810
Yule kijana alietoa tangazo lile, jana kwenye Luninga alikuwa amelowa kabisa na jicho kumuiva! Naona hata Dk LIKI alimgundua akawa anapooza kiaina hivi!
huyo jamaa anaitwa dativas mango, aka gomba gomba, ni mtangazaji mzuri wa siku nyingi na ndo production manager wa magic fm, amekaa muda mrefu africa media group na nadhani amezoea kazi
Bongo lala huyo jamaa si mtangazaji mzuri hata kidogo labda kwa upuuzi ndio maana hao wapuuzi wenzake wamempa na uprodakhseni meneja.Sina uhakika kama hata alipitia ngumbaru.