jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,604
- 3,753
Nashindwa kuelewa huu uongozi wa Channel ten hawana elimu ya kuopareti mitambo yao? Nauliza hivi kwa sababu kila siku tatizo hilo hilo linajirudia, kama sauti kukwama, au picha kukwama au vyote kwa pamoja ina maana wameshindwa kurekebisha kabisa miaka yote?
Hata mapresenter wao wanasoma taarifa utadhani wanatangaza mieleka, wajifunze kutoka azam na ITV aaaaghhhh!!!!!
Hata mapresenter wao wanasoma taarifa utadhani wanatangaza mieleka, wajifunze kutoka azam na ITV aaaaghhhh!!!!!