Channel ten ni uchakavu au bado wanajifunza?

japo watu wanaichukua, husasani wale wanalikuwa wanajiita wana mabadiliko, ukawa . kituo cha television cha star tv ni kituo bora cha mafunzo ya usomaji wa taarifa ya habari, pamoja na azam tv kuchukua wale bora lakin sasa kumeibuka kwa watangazi wengine bora,wanasoma taarifa wametulia,taaratibu, kwa kweli wananifurahisha....wasomaji wa itv, daah wanasoma kama wanakimbizwa kama yule jackline nselemo....

star tv, kama kina John Anatoly na wenzake, wametulia , hawana papara, wanajiamini, unasoma neno kwa neno...

wajifunze kutoka star tv ila timu mabadiliko wanatapinga tu maana wao wapo kupinga tu na wamejaa hapa JF

uchaguzi umeisha kwasasa ni Tanzania kwanza.

Tooa post acha kujishukushuku.........unajihami mana unajua kilchotokea agizoo la kikwete kuhusu dialo unalkmbukae
 
japo watu wanaichukua, husasani wale wanalikuwa wanajiita wana mabadiliko, ukawa . kituo cha television cha star tv ni kituo bora cha mafunzo ya usomaji wa taarifa ya habari, pamoja na azam tv kuchukua wale bora lakin sasa kumeibuka kwa watangazi wengine bora,wanasoma taarifa wametulia,taaratibu, kwa kweli wananifurahisha....wasomaji wa itv, daah wanasoma kama wanakimbizwa kama yule jackline nselemo....

star tv, kama kina John Anatoly na wenzake, wametulia , hawana papara, wanajiamini, unasoma neno kwa neno...

wajifunze kutoka star tv ila timu mabadiliko wanatapinga tu maana wao wapo kupinga tu na wamejaa hapa JF

uchaguzi umeisha kwasasa ni Tanzania kwanza.

hamna kitu hapo.. kwenye uchaguzi wote tulijionea ni kituo gani bora cha matangazo ya Radio & Tv ..
 
japo watu wanaichukua, husasani wale wanalikuwa wanajiita wana mabadiliko, ukawa . kituo cha television cha star tv ni kituo bora cha mafunzo ya usomaji wa taarifa ya habari, pamoja na azam tv kuchukua wale bora lakin sasa kumeibuka kwa watangazi wengine bora,wanasoma taarifa wametulia,taaratibu, kwa kweli wananifurahisha....wasomaji wa itv, daah wanasoma kama wanakimbizwa kama yule jackline nselemo....

star tv, kama kina John Anatoly na wenzake, wametulia , hawana papara, wanajiamini, unasoma neno kwa neno...

wajifunze kutoka star tv ila timu mabadiliko wanatapinga tu maana wao wapo kupinga tu na wamejaa hapa JF

uchaguzi umeisha kwasasa ni Tanzania kwanza.

ni dhambi usipotaja ITViiiii!
 
Kwenye hiyo TV mtangazaji wa maana ni kilala tu,wengine hovyo,japo kilala huwa anapambanishwa afanye kipindi na mwana Ccm polepole
 
Nashindwa kuelewa huu uongozi wa Channel ten hawana elimu ya kuopareti mitambo yao? Nauliza hivi kwa sababu kila siku tatizo hilo hilo linajirudia, kama sauti kukwama, au picha kukwama au vyote kwa pamoja ina maana wameshindwa kurekebisha kabisa miaka yote?

Hata mapresenter wao wanasoma taarifa utadhani wanatangaza mieleka, wajifunze kutoka azam na ITV aaaaghhhh!!!!!

Wanaboa Kishenzi.... Picha Imeganda Tangu Jana.... Sijui Mpango Gani?
Kama Biashara Ya Matangazo Ya TV Yameyashindwa, Wafunge Kituo Tujue Moja...aaaggrrrh
 
Nilijua ni tv yangu mbovu!
Nimehangaika na setting za brightness, color n.k mpaka nimechoka
 
Picha inaonekana vizur kwenye MADA MOTO TU..tena akiwepo polepole baaasi..vipindi vingne moshi tupu!!!
 
Misaut inaingilianaga, hainaga vipindi vya maana, saut haivutii kuickiliza.. Yaan ipo tu
 
Back
Top Bottom