Gobole
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 1,806
- 4,651
Again acha kuchangia kwa hisia...Milambo haijawahi kumiliki 60% or 40% ya hisa za vodacom....Again Milambo hakua majority shareholders hio sauti ulitaka aipate wapi?..Uongo mtupu. Rostam mwaka 2016 alipunguza hisa zake hadi kufikia 40% huko Vodacom baada ya kupewa uchungu mkweli utakaokuja baadaye. Kwa kuwa hakuwa ba sauti Vodacom akahisi atakuwa safe huku akivuta gawio kimya kimya ila Jiwe akaingia humo humo chimbo akazidaka na sasa maccm ndiyo yanamiliki hizo hisa asilimia 40. Na hapo palikuwa na ugomvi mkubwa kati ya Kinana na Jiwe.
unazungumzia kuvuta kimya kimya, unavutaje kimya kimya nana ameuza hisa?
Now unaleta uongo kua ccm inamiliki 40% wamezitoa wapi, unadhani hisa zinagawiwa km maandazi au kadi za vyama?
Vodacom SA anamiliki 75% zinazobaki ni 25% hio hesabu ya 40% unaipata wapi?
Nway naambatanisha mchanganuo wa hisa za vodacom Tanzania hapa chini ili uache kupotosha watu.
Hili ni jukwaa la Great thinkers, act like one.