Channel Ten ilikuwa Mali ya CCM kuanzia lini?

Uongo mtupu. Rostam mwaka 2016 alipunguza hisa zake hadi kufikia 40% huko Vodacom baada ya kupewa uchungu mkweli utakaokuja baadaye. Kwa kuwa hakuwa ba sauti Vodacom akahisi atakuwa safe huku akivuta gawio kimya kimya ila Jiwe akaingia humo humo chimbo akazidaka na sasa maccm ndiyo yanamiliki hizo hisa asilimia 40. Na hapo palikuwa na ugomvi mkubwa kati ya Kinana na Jiwe.
Again acha kuchangia kwa hisia...Milambo haijawahi kumiliki 60% or 40% ya hisa za vodacom....Again Milambo hakua majority shareholders hio sauti ulitaka aipate wapi?..
unazungumzia kuvuta kimya kimya, unavutaje kimya kimya nana ameuza hisa?

Now unaleta uongo kua ccm inamiliki 40% wamezitoa wapi, unadhani hisa zinagawiwa km maandazi au kadi za vyama?
Vodacom SA anamiliki 75% zinazobaki ni 25% hio hesabu ya 40% unaipata wapi?
Nway naambatanisha mchanganuo wa hisa za vodacom Tanzania hapa chini ili uache kupotosha watu.
Hili ni jukwaa la Great thinkers, act like one.
Screenshot_20210418-103521_Chrome.jpg
 
Milambo ilikuwa kampuni inayojishugulisha na nini?
Again acha kuchangia kwa hisia...Milambo haijawahi kumiliki 60% or 40% ya hisa za vodacom....Again Milambo hakua majority shareholders hio sauti ulitaka aipate wapi?..
unazungumzia kuvuta kimya kimya, unavutaje kimya kimya nana ameuza hisa?

Now unaleta uongo kua ccm inamiliki 40% wamezitoa wapi, unadhani hisa zinagawiwa km maandazi au kadi za vyama?
Vodacom SA anamiliki 75% zinazobaki ni 25% hio hesabu ya 40% unaipata wapi?
Nway naambatanisha mchanganuo wa hisa za vodacom Tanzania hapa chini ili uache kupotosha watu.
Hili ni jukwaa la Great thinkers, act like one.
View attachment 1755237
 
Hizo hizo 60% za rostam vodacom zimeufanya mchango wako wote ukose credibility...unachangia kihisia sana kuliko uhalisia.
Anyway kabla ya kuuza hisa zake Rostam alimiliki 35% ya vodacom kupitia kampuni inaitwa Milambo na sio 60% km unavyotaka kutupiga kamba, na hata hisa za milambo ktk vodacom ni vodacom hao hao waliozilipia km capital the money didnt come from him(kuna gazeti moja la SA liliandika hii habari)..yy ilikua connection tu na connection ilitoka kwa balozi wa Tanzania SA Balozi Mpungwe huyu yy alipata deal la kuuza vocha...hii Milambo ilipaswa kua kampuni ya ccm, how it end mikononi wa Rostam vigogo wa juu wa ccm ndo wanajua vzuri zaidi.
Huyu mpungwe havumi lakini yumo
Kila kampuni ya sa hapa nchini hakosekani kwa namna moja au nyingine
 
Wakati wa Magufuli ..siku moja alienda kutembelea Mali za chama akaenda kutembelea kituo maarufu cha TV cha Channel ten.

Ndo tukatangaziwa kuwa na chenyewe ni Mali ya Chama Cha Mapinduzi...

Wanaojua historia ya channel ten na kampuni iliyokuwa inamiliki hiyo channel
ya African Media Group..pamoja na channel zingine kama Dtv na baadae CTN..tulibaki mdomo wazi..

Swali langu lini CCM ilinunua hiii kampuni?
Au ndo moja ya 'uporaji 'uliofanywa?

Kuna mwenye maelezo ya kina??

Cc Pascal Mayalla ..wewe umewahi fanya kazi African Media Group.. Unajua lolote??
CCM's looting behavior continues - from the stadiums to newsrooms.
 
Channel ten umiliki wa asilimia 70 alikuwa Rostam Aziz na huyo mwenzake alikuwa na asilimia 30. Vodacom pia majority share holder alikuwa Rostam kwa hisa nadhani asilimia 60 ila baada ya Jiwe kuingia madarakani akazipunguza akabakia na asilimia 40 hivyo akaondoka kwenye kuwa mmiliki mkuu wa Vodacom akawaachia makaburu.

Sasa wakati wa uhakiki wa mali za CCM ulipofanyika Bashiru akatoa tuhuma kuwa Rostam enzi akiwa mweka hazina alikiibia chama fedha nyingi. Kama kawaida genge la utaifishaji likamuita likamwambia aidha alipe, au atoe umiliki wote wa hisa zake za makampuni hayo mawili ziende kwa CCM au apigwe uhujumu uchumi na biashara zake zote zipotee jumla. Ikabidi mwamba awe mpole aachie alichoamriwa. Tokea hapo ghafla lichannel ten na vijitawi vyake vyote likawa chini ya maccm kama wamiliki wakuu na hata yule mmiliki mwenza wakanunua vihisa vyake alivyokuwa anamiliki kama minority share holder wa Rostam kwa bei ya hasara kwa madai eti alikuwa hachangii fedha za kuendeleza kampuni badala yake alikuwa anasubiria tu kula faida. Na Vodacom nayo ikawa na sehemu ya umiliki wa maccm kama minority share holder ingawa walitaka nayo kuiteka jumla. Nashukuru jamaa ameondoka jumla kabla misheni haijakamilika. Yani watu washukuru tena na tena maana vinginevyo sijui!

Nina list ya makampuni kama 15 hivi ambayo serikali ya JIWE iliyachukua kibabe. Yani ilikuwa hivi. Unaitwa kwenye kachumba kamoja kwenye jengo maarufu la TAKUKURU pale mjini huko unakutana na yale ma tycoon ya JIWE kisha unapigiwa hesabu ya kodi tangia uloponunua kampuni kutoka serikalini mwaka 1997 enzi ya ubinafsishaji mpaka mwaka 2019 ambapo ndipo mwaka Jiwe alifanya uporaji. Mwanangu kudadeki huo mkodi unaokadiriwa hata hiyo kampuni uiuze kwa wateja wanne tofauti kitapeli bado huwezi kuulipa. So unapewa option B ya kuwaachia kampuni kiroho safi na wewe unapewa mkataba wa ajira wa miezi 6. Ukishindwa hapo unakutana na ka task force ka uhujumu uchumi ambako kaliundwa maalum kwa kazi hiyo. Yani wote waliokumbana na hili sekeseke wakaishia kuachia umiliki wa mzigo ukaenda serikalini jumla huku wanatumbua macho. Yani unaiona kampuni ileeee inasepa kiulaini kama inateleza. Na ni makampuni makubwa yenye umiliki wa mabilioni ya fedha.

Mwanangu JIWE alikuwa SUMU!
Aisee ilikua hatari
 
Jamaa nilishamsahau huyu ....
Umerudi! Pole sana kwa kuondokewa na kipenzi chako, Jambazi mwendazake! Hata mwalimu alitabiri ujio wa wahuni kama huyo pale alipoifananisha katiba yetu mbovu na kokoro...inazoa tu hadi matakataka kama tuliyoyashuhudia katika kipindi cha miaka mitano!
Duh Maghufuli RIP
Kama ulimpenda kanywe naye chai huko aliko, nina hakika utafaidi na hiyo miali mikali ya moto kwa dhambi mlizolitendea taifa letu.
 
Hehe .... Tunamsubiri mkuu sana Nguruvi3
 
Wakati wa Magufuli ..siku moja alienda kutembelea Mali za chama akaenda kutembelea kituo maarufu cha TV cha Channel ten.

Ndo tukatangaziwa kuwa na chenyewe ni Mali ya Chama Cha Mapinduzi...

Wanaojua historia ya channel ten na kampuni iliyokuwa inamiliki hiyo channel
ya African Media Group..pamoja na channel zingine kama Dtv na baadae CTN..tulibaki mdomo wazi..

Swali langu lini CCM ilinunua hiii kampuni?
Au ndo moja ya 'uporaji 'uliofanywa?

Kuna mwenye maelezo ya kina??

Cc Pascal Mayalla ..wewe umewahi fanya kazi African Media Group.. Unajua lolote??
Mdogo wa Rostam Aziz alikamatwa na Meno ya Tembo na nyara kadhaa za wanyama pori pamoja na kontena la bunduki za kufanyia ujangili , akashitakiwa kwa Uhujumu uchumi , sasa katika masharti ya kufuta kesi hiyo Rostam akatinga Ikulu na pamoja na mambo mengine akaipa ccm Channel 10 ili mdogo wake aachiwe huru , baada ya jambo hilo mdogo wake akaachiwa huru kabla jua halijachomoza , umo uzi wa kudakwa kwa mdogo wa Rostam humu jf , pia uzi wa Rostam kumtembelea Magufuli Ikulu nao umo humuhumu , unganisha nukta
 
Kumekuchaaa
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom