Channel Ten ilikuwa Mali ya CCM kuanzia lini?

Nakumbuka 2012 nilikuwa kwenye flight moja na jamaa wawili na mdada mmoja alikaa siti ya pembeni nikawa napigisha story akaniambia wametoka China kikazi na ni wafanyakazi wa Channel Ten.

She sounded well paid too, sababu niliingiza gia kuwa naishi States akaniambia nyie huko mnaendesha baiskeli wakati mimi nina Prado.

Kiufupi ilionyesha wazi kuwa wametoka trip ya kiserikali China na nilikutana nao kwenye connecting flight ya kutoka Addis Ababa. Nadhani kuna uhusiano tangu zamani kati yao na CCM.
 
Kama wewe sio kilaza sana basi watakuwa wamekumezesha matangopori vibaya ila uwachanganye watu makusudi wasielewe.

CCM kuwa na hisa kupitia Rostam ni upuuzi gani?

Zilikuwa Hisa za CCM halafu Rostam akauza hisa zake???
Ni uamuzi wa kamati kuu chini ya mkapa
Ccm pia ilikua na hisa Vodacom kupitia Rostam lakini bahati mbaya Tena
Ndio Mana Kuna kipindi chadema walianzisha kampeni ya kususia Vodacom,kwa sababu inamilikiwa na ccm
Matokeo yake Rostam akauza hisa zake kwa Tsh Bilioni 450!
 
Ni uamuzi wa kamati kuu chini ya mkapa
Ccm pia ilikua na hisa Vodacom kupitia Rostam lakini bahati mbaya TenašŸ˜­šŸ˜­
Ndio Mana Kuna kipindi chadema walianzisha kampeni ya kususia Vodacom,kwa sababu inamilikiwa na ccm
Matokeo yake Rostam akauza hisa zake kwa Tsh Bilioni 450!

Kwahiyo kila anachomiliki Rostam ni Mali ya CCM?
 
Anafanya kazi CCM Halafu ametoka China kwenye tripu ya kikazi ya serikali?
Nakumbuka 2012 nilikuwa kwenye flight moja na jamaa wawili na mdada mmoja alikaa siti ya pembeni nikawa napigisha story akaniambia wametoka China kikazi na ni wafanyakazi wa Channel Ten.

She sounded well paid too, sababu niliingiza gia kuwa naishi States akaniambia nyie huko mnaendesha baiskeli wakati mimi nina Prado.

Kiufupi ilionyesha wazi kuwa wametoka trip ya kiserikali China na nilikutana nao kwenye connecting flight ya kutoka Addis Ababa. Nadhani kuna uhusiano tangu zamani kati yao na CCM.
 
Kama wewe sio kilaza sana basi watakuwa wamekumezesha matangopori vibaya ila uwachanganye watu makusudi wasielewe.

CCM kuwa na hisa kupitia Rostam ni upuuzi gani?

Zilikuwa Hisa za CCM halafu Rostam akauza hisa zake???
Nakubali matusi yako
Hata mie ninaweza kuwa na hisa sehemu nikakuamini ukawa unazishikilia
Na unaweza kuziuza nisikufanye bila hata ridhaa yangu
 
Tanzania Daima, mwanahalisi na mawio havijawahi kuwa vyombo vya Chadema kama Uhuru ilivyo mali ya CCM. Vilikuwa ni vyombo vinavyomilikiwa na wanachama wa Chadema vikiwa mali zao binafsi.
Ni pesa za chama chetu,tuliamua tuziwekeze
Ni Kama vile kamati kuu ya chadema ilipoamua iwekeze pesa kwenye chombo Cha propaganda ikaamua kuanzisha Tanzania daima kupitia chairman,matokeo yake ndio hivyo Tena
 
Tanzania Daima, mwanahalisi na mawio havijawahi kuwa vyombo vya Chadema kama Uhuru ilivyo mali ya CCM. Vilikuwa ni vyombo vinavyomilikiwa na wanachama wa Chadema vikiwa mali zao binafsi.
Naongelea Tanzania Daima,100% wazo lilianza kamati kuu,pesa imetoka chamani badae Mwenyekiti akazunguka akatwaa hisa kwa style ya kukikopesha chama,dhamana yake ashikilie hisa,matokeo yake ndio hivyo TenašŸ˜­šŸ˜­
Tatizo lenu chadema mmeijua juzi baada ya kuja Tundu lissu
 
Hakuna kitu kitu kinaitwa kuzishikilia hisa.
Ukishikila hisa za mtu mwingine gawio la faida nani anapokea?
Huwezi kuziuza hisa za mtu mwingine zisizo zako mali yako?
Nakubali matusi yako
Hata mie ninaweza kuwa na hisa sehemu nikakuamini ukawa unazishikilia
Na unaweza kuziuza nisikufanye bila hata ridhaa yangu
 
CCM jamani...kila mara nawakumbusha Watanzania kuwa adui mkubwa wa taifa hili ni CCM;
  • CCM ilipora mashirika ya umma
  • CCM ilipora majengo ya umma
  • CCM ilipora viwanja vya umma
  • CCM ilipora vyombo vya umma
  • CCM ilipora serikali ya wananchi
Chini ya dikteta uchwara Magufuli mambo yakawa mabaya zaidi...
  • CCM ikapora bunge la wananchi
  • CCM ikapora mahakama ya wananchi
  • CCM ikapora usalama wa wananchi
  • CCM ikapora haki ya wananchi
  • CCM ikapora uhuru wa wananchi
Matokeo yake hali ikawa ya kutisha chini ya mwenyekiti wa CCM, John Pombe Magufuli
  • Kauli ya Magufuli ikawa ndio katiba ya nchi
  • Haki ya Mtanzania ikawa ni hisani ya Magufuli
  • Uhuru wa Mtanzania ukawa ni hisani ya Magufuli
  • Usalama wa Mtanzania ukawa hisani ya Magufuli
  • Uhai wa Mtanzania ukategemea utashi wa Magufuli
 
Hakuna kitu kitu kinaitwa kuzishikilia hisa.
Ukishikila hisa za mtu mwingine gawio la faida nani anapokea?
Huwezi kuziuza hisa za mtu mwingine zisizo zako mali yako?
Hujui Mambo ya biashara tunapirezeana muda tu
 
Kumshambulia marehemu hakukusaidii,unaahirisha tu tatizo lako la msongo wa mawazo
 
Hamna shida ila anaweza kumshambulia marehemu kwa dhumuni la kufikisha ujumbe kwa watu waliobaki dunia,
Kwa hiyo anashumbuliwa na kusemwa kwa mabaya yake ili walio hai wajirekeb ishe,
Kwa nini asichague alie hai?
Unamshambulia asieweza kujitetea eti unafikisha ujumbe,nani mwenye akili atakuamini?
 
Wewe ndio mjinga wa kutaka kkufunika ukweli kuhusu serikali ya 5 ya JIWE ilivyokuwa ya kitapeli.
Uliloandika hujui kuhusu channel ten na kama hujui acha kuzusha ni upuuzi. Kazi ya JF ni kuelimisha si kupotosha wewe kiazi
 
Back
Top Bottom