Channel 10 Live: Jenerali on Monday

kaka hata mimi sijakiona ila jamaa namjua ni mchuzi sana hata kuigiza alikuwa analazimisha na lidomo lake,eti ndo msanii kioo cha jamii hajui watanzania wanataka nini kalishwa maneno hana hata cha kuonhea analeta upuuzi wake wa clouds kwenye maisha ya watu,nimeuliza chanel ten wanarudia tena ijumaa saa 7 mchana .itabidi tujiibe tukaangalie ujinga wake
 
Huyo jamaa anadhalilisha hata taasisi ikiyomwajiri. Wote wanaonekana hamna kitu ni usanii tu.
Hilo ndio tatizo la kulishwa mawazo.

Vipi mkinga ambaye yeye hakubaliani kabisa na ushauri ule wa tume maana kimsingi swala serikali 3 ilikuwa ni ushauri wa tume na sio matokeo ya uwingi wa waliohojiwa ,mkinga yeye anasema inakuaje mataifa makubwa duniani yanafililia kuunganisha nchi zao na sisi tunafikilia kugawanyika zaidi?. Anasema kama ni kweli kuna umuhimu wa kuzungumzia muundo wa serikali basi iwe kutoka 2 kwenda moja badala ya kurudi nyuma ambako ni kuwa na serikali 3.
 
Dah jamaa kamtoa nishai mshkaji


Yani cku hz kila Mtanzania ni mchambuz wa siasa na soka sasa huyu jamaa wa jana alikuja na ukada akidhani yupo chuoni Mwl Nyerere anajadili midahalo ya siasa akakutana na jembe wacha abananishwe hadi nikamuonea huruma yani ni bora angeenda kule kwenye kipindi cha dakika 45 wanakouliza direct Qns.
 
Nadhani jana Simalenga Simon hakulala usingizi vizuri maana ilikuwa ni aibu. Kila swali alilokuwa anaulizwa ilikuwa ni kama vile mwanafunzi wa darasa la pili anaulizwa swali la A-level. Jenerali naye alikuwa anampa za uso mfululizo. Jamaa ilikuwa ni aibu ya mwaka. Akialikwa tena kwa kipindi cha Jenerali hawezi kwenda tena, na akome.
 
Simalenga anasema katiba iliyopo haina ubaya, je anajua katiba iliyopo inachangia watanzania wenzake wengi kuishi katika hali ya ufukara?!!! hii ni aibu hadi kwa chombo cha habari anachofanya kazi!
 
Well said mkuu,sio kila mwenye shahada ni mahiri kwenye fani yake wengine wamehonga kuwa nayo.Hiko chuo DSJ kiko wapi maana kuna watu wengi wamepita hapo tena hawapo vizuri.

Kipo Ilala Shariff Shamba!!!!!!
 
Na ktk hiyo Taasisi Yeye ndiyo Afisa Uhusiano Wao Sasa pata Picha Afisa Uhusiano wa Redio Mawingu hana Analytical ability Je Unategemea Nini? Hakika Ameaibisha Tasnia Nzima Ya Mawasiliano Ya Umma na Uandishi wa Habari. Kazi Ipo!!!!

Du! Nimefuatilia huu uzi, kufikia comment hii nikashindwa kujizuia walau kuandika!
 
Katumwa na akina Bashiru Ali.
 
Alikuwa anatapatapa tu,hawezi kujielezea..
 
Hii jamaa jinga sana...eti ndio Boss wa kitengo gani clouds....

Kuna watu wameingia ktk siasa na kufanya siasa na kufanya uongozi uonekane ni jambo la kawaida... majinga jinga kama haya ndio wanarudisha nyuma nchi hii...

Niliudhika sana jana kumuona huyu jamaa akinajisi taaluma ya uandishi wa habari...

Some People are living,simply its illegal to slaught them...!! Send him to abbourtour
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…