na sisi tusio kwenye makundi maalum watupe utaratibu, ni lini tunapata chanjo?
Hivi wale waliokufa baada ya kuchanjwa wenyewe wanasemaje>Hii kitu ni kujidanganya kuwa hauko kwenye kundi maalumu. Hapa chanjo walete za kutosha wote wanaotaka wachanjwe:
View attachment 1877217
Hii ya kupigana hadithi kuwa hammo kwenye kundi maalumu wakati mpiga hadithi amekwisha chanjwa mbona wala hailipi?
Wakati mwengine shida ni vipimo vyenyewe vya kupimia corona, si kila unapokutwa positive basi una mambukizi ya corona.Hivi wale waliokufa baada ya kuchanjwa wenyewe wanasemaje>
Hivi wale waliokufa baada ya kuchanjwa wenyewe wanasemaje>
Ukipata madhara uje tukuchangie wale vimbelembele 10 wa mwanzo tutawachangia
Agiza dawa hii ya kinga na tiba. Achana na haya madude. Wewe si pany a buku wa kufanyiwa majaribioNitapata chanjo yangu inshallah pamoja na washirika wangu makwetu. Hili si zoezi la kukosa mimi na wote niwapendao. Hayawi hayawi hatimaye huenda yatakuwa.
Tumefika kujiandikisha 08:00: wenye magonjwa mengine na wazee 50+ kwa mujibu wa waraka wa wizara.
Karibu Tanzania. Huku ndiko Dunia iliko:
1. Pana watu kwenye makundi lengwa wangali hawana vitambulisho vya Nida wala namba za Nida.
2. Kwenye kundi #1 wapo pia wengine ambao hawana vitambulisho vingine vyovyote katika vilivyotajwa kwenye waraka.
3. Katika walengwa kuna vikongwe 100+ wa kubeba kuwasogeza hata kwa umbali wa mita 1.
Mwitikio wa watu kujiandikisha ni mkubwa sana. Uhamasishaji haukuwa mdogo. Ni muhimu wote hawa wakawezeshwa kupata chanjo hii bila kukosa.
Itakuwa si haki kwa watu hawa wanaoihitaji chanjo kufanywa binadamu daraja la 2.
Nilipata nafasi ya kusema mawili matatu na maafisa waliokuwa wanafanya usajili huo. Nikidhani kuwa hatarini walikuwa ni wazee na wenye magonjwa mengine peke yao.
Haya ndiyo yaliyokuwa majibu yao:
"Mnadhani wanaokufa na ugonjwa huu ni wazee peke yao? Mbona vijana wengi tu nao unawaondoa?"
Bado sijachwanjwa labda hadi kesho. Tumeambiwa tutapigiwa simu. Bado hatujapata confirmation. Bado tunasubiri. Bado hatuachanjwa hadi tutakapokuwa nimechanjwa.
"Kama wasafiri bado tungali tuko njiani" -- King Kikki.
"We are standing by."
Agiza dawa hii ya kinga na tiba. Achana na haya madude. Wewe si pany a buku wa kufanyiwa majaribio
Namba za simu zinapita hapa chini.
Unajua baada ya madhara haya ya muda mfupi, miaka ijayo utakuwa bado binadamu? Utazaa watoto binadamu? Wa aian gani?
Mkuu watasemaje kwa nani wakati WAMEKUFA? au unamaana kwamba watasemaje kwa MUNGU?Hivi wale waliokufa baada ya kuchanjwa wenyewe wanasemaje>
Mkuu watasemaje kwa nani wakati WAMEKUFA? au unamaana kwamba watasemaje kwa MUNGU?
Hiyo dawa imefanyiwa majaribio wapi ? Madhara ya muda mrefu yapoje ?Agiza dawa hii ya kinga na tiba. Achana na haya madude. Wewe si pany a buku wa kufanyiwa majaribio
Namba za simu zinapita hapa chini.
Unajua baada ya madhara haya ya muda mfupi, miaka ijayo utakuwa bado binadamu? Utazaa watoto binadamu? Wa aian gani?
Vipi unalipwa nini? Naona uko busy na chanjo za corona as if wewe ndiyo mzalishaji wa chanjo hizo.Kumbuka ukichanjwa leo inachukua siku kadhaa kwa kinga kuzalishwa. Chanjo ni kichocheo cha kuzalishwa kwa kinga mwilini. Chanjo si kinga yenyewe.
Waliokufa kwa Corona baada ya kuchanjwa, wenyewe wanasema hivi:
"1. Tupo tulioshambuliwa na Corona kabla ya kinga kuzalishwa mwilini
2. Tupo tulioshambuliwa na Corona kabla ya kinga ya kutosha kuzalishwa mwilini
3. Tupo tulioanguka kwenye wale wachache tulioangukia katika wale wa kwenye failure rate ya chanjo.
Mfano kama chanjo ni 96% efficient basi sisi ni katika 4 kutokea katika 100 ambao aghalabu labda wangekufa wote bila chanjo.
4. Tupo tuliokuwa kwenye hatari zaidi ambao tungekufa tu hata bila Corona, kwani tuko kwenye hatua zetu za mwisho na magonjwa mabaya kama ya moyo, cancer nk.
5. Nk."
Kujua kamili kila aliyekufa kwenye mazingira yake, hayo ni vizuri ukajinasibu kumwuliza mfu mwenyewe.
Mkuu wa wilaya ya temeke yupo kundi lipi? Ana umri Gani ?
Vipi unalipwa nini? Naona uko busy na chanjo za corona as if wewe ndiyo mzalishaji wa chanjo hizo.
August 5 nitapata chanjo...