Changudoa alinidhulumu!!!

Changudoa alinidhulumu!!!

Mleta uzi umenikumbusha yalinifika haya mwaka jana, tulitoka kulewa na mshikaji wangu maeneo ya Kisuma bar (zamani sugar rays) basi tukapita mahali kwenye dada poa, ile naingia guest uoga uoga vaa ndomu ngoma ikadoro wakati huo dada yuko chali bed na meli ikamwaga mzigo kabla hata ya ku-duu, demu kanishushua kwanza "wenzio wanakuja huku wakiwa tayari ngoma imecmama, nakupa dk 1 kama bado nasepa" na kweli kasepa bana na ameshachukua bk 5 (malipo yake pamoja na guest)...ile nimetoka ndo ngoma ikaamsha popo nikaona wala sikubali, nikachukua totoz ingine nikazama nayo kwa bk 5 ingine, mara hii ndo nikafaidi. Chezea hofu wewe.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
...na usithubutu kurudia tena! umshukuru Mungu wako amekuepusha na janga! pi inaonekana mkeo ni mtu wa ibada sana....safi!
nakumbuka miaka sita iliyopita,nilizinguana na mwandani wangu,nikaona isiwe tabu,nikajikongoja mpaka sudani(temeke),nikaingia kwenye uchochoro wanakokaa dada zetu wale,baada ya kupita mara ya kwanza na kuchunguza kwa makini nikamuona ambaye angenifaa.mi huyoo,nilipokuwa narudia kupita nikazama chumbani mwake,(alikuwa amekaa mlangoni kwa nje),nae akanifuata,akafunga mlango.tukakubaliana buku 3.nikalipa.ukizingatia wasi wasi niliokuwa nao,uoga na mawazo kibao nikihofiangoma na mengineyo,"mzee"akagoma kusimama,mdada wa watu kajaribu wee mpaka akashangaa kwanini mzee hasimami.alipoona hakuna matumaini akanigeuka,akawa mkali na kunifukuza eti nampotezea muda,nilipomwambia anirudishie pesa yangu kwa kuwa sikufanikiwa "kuitumia",mdada kaanza kuongea kiruga,nikaanza kuona watu wamejaa mlangoni,(inavyoonekana alikuwa akiwaita wenzake),nikaona isiwe tabu,nisije nikadhalilishwa bure kwa kipondo,nikafungua mlango nikasepa...

hiyo ndo ikawa mara yangu ya kwanza na ya mwisho kuingia kwenye danguro na kujaribu kuchukua dada poa sehemu yoyote ile!!!

nimeconfess ila waifu hatajua!!!
 
watu kwa kuponda bwanah,mkuu hyo hali ya kawaida kwa wanaume sisi,mbna ndo zetu sana ila sasa na ww una matatizo yaani husimamishi maka leo au
hii ni hali ya kawaida sana kama mtu akiwa na hofu kubwa
 
Si mchezo
 
...na usithubutu kurudia tena! umshukuru Mungu wako amekuepusha na janga! pi inaonekana mkeo ni mtu wa ibada sana....safi!

nashukuru sana,sintarudia tena,baada ya kutuliza akili ndo nikajiona nilikuwa napotea
 
Mleta uzi umenikumbusha yalinifika haya mwaka jana, tulitoka kulewa na mshikaji wangu maeneo ya Kisuma bar (zamani sugar rays) basi tukapita mahali kwenye dada poa, ile naingia guest uoga uoga vaa ndomu ngoma ikadoro wakati huo dada yuko chali bed na meli ikamwaga mzigo kabla hata ya ku-duu, demu kanishushua kwanza "wenzio wanakuja huku wakiwa tayari ngoma imecmama, nakupa dk 1 kama bado nasepa" na kweli kasepa bana na ameshachukua bk 5 (malipo yake pamoja na guest)...ile nimetoka ndo ngoma ikaamsha popo nikaona wala sikubali, nikachukua totoz ingine nikazama nayo kwa bk 5 ingine, mara hii ndo nikafaidi. Chezea hofu wewe.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

umenikumbusha mbali,ulipotaja sugar ray.ila pole kwa majanga
 
watu kwa kuponda bwanah,mkuu hyo hali ya kawaida kwa wanaume sisi,mbna ndo zetu sana ila sasa na ww una matatizo yaani husimamishi maka leo au

ngoma inafanya kazi kama kawaida sema tu sijawahi tena jaribu kwa madada poa,na sina mpango huo kabisa
 
Pole kaka Hukuzulumiwa ila wewe ndo uliye mzulumu kwani pamoja na biashara anayofanya hua anafaidi na uroda wewe ukampa hela ukamnyima uroda

hapana mkuu,alinidhulumu,kwani kuna mtu humu kanitonya kuwa kwa miaka hiyo bei ilikuwa buku,sasa yeye kanitoza buku 3,achilia mbali kwamba sikufaidi hata chenji hakurudisha.aliniover charge sasa sio dhuluma hiyo?
 
mkuu watu wanakuwaga na ujasiri gani hadi wanafanikiwa kuduu,mi nilishindwa mkuu,ngoma haikusimama,yaani hata kuonyesha dalili kidogo za kufanikiwa hamna....buku 3 yangu ikaenda kireja reja

Mkuu hata bikra siku ya kwanza inapoghasiwa huuma
 
sio bure lazma wakati unataka kuharibu wife alikua anashusha sala kali sana kukusevu:smile-big:
 
mkuu,sikuwahi kujua bei zao,hiyo bei ya buku 3 ndio tulikubaliana nilipe,sasa we ndo unanistua kumbe aliniibia mara mbili

Duh asante sana Kozo, nimecheka weeee, umenisaidia sana maana leo nilianza kuboreka toka asubuhi.

Lakini kaka Konzo wewe ulitaka akurudishie kwa sababu rungu lako limegoma, kwani wakati unahangaika nalo si muda ulipita kidogo? Kama ndivyo muda huo si ulimkosesha wateja wengine? Kiufupi wadau wa biashara hiyo wamepitia taabu nyingi sana hadi wakaungana pamoja na kutengeneza mitandao ya kujilinda. Ungelazimisha urudishiwe loh, mbona ungepata shida sana?
 
Hawa dada poa wanamsaada mkubwa sana manake bila wao ubakaji ungeongezeka mara dufu wake zetu sometimes ni kama hawajtambui kabisa kuhusu mapenzi.

Kama unakosa mapenzi kwa mkeo utayapata kwa changudoa?...!!!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom