Machangudoa noma, hapa manzese kwa fisi, wamejaa tele kama awafanyabiashara wa nguo za mitumba, ukitaka wahaya huduma ni buku mbili kwa penati moja ya lionel mess, na kuna ambao wanasimama kwenye vichochoro ambao wengiwao ni mateja huwa wanatangaza kuwa tunatoa 0713 kwa elfu mbili then ukiingia katika gheto lake kunakuja vijana (wahuni) wanakuchenchia wanakunyanganya fedha na simu na kipigo juu, juzi kati yalimkuta mshikaji wangu, alipata majanga baada ya kushuka pale uwanja wa fisi manzese ,ndipo alipokutana na changudoa mmoja, walipokubaliana wakazama gheto baada ya muda mfupi kuanza match, ghafula wahuni wakavamia gheto na kumuibia mshikaji kila kitu, onyo kwa member wa MMU, jamani kama unaenda manzese kwa fisi ,kuwa makini sana, mimi napita, nawapa nafasi wachangia mada wengine