Changia Mabadiliko Chalinze


ngoja na mimi nifanye mchakato nitume chochote kitu kwasababu naamini CDM itajengwa na wenye moyo, tena mioyo misafi.
 
Mwenyekiti wetu!?..yaani wewe ukimuota Yericko kuwa mwenyekitti unakuja kutangaza jf , tunasbiri uote anakuhemea tuone utakavyo kuja kututangazia...

Acha maneno ya kike wewe kule kwenye thread ya mgombea wa kalenga si mlidai yericko ndio mwenyekiti wa CDM mitandaoni? Leo yamewakuta yapi?

kwanini mmezoea uongo kiasi hiki?

You are too silly....
 
Teh teh teh, makamanda wamekimbia michango mpaka sasa imepatakana 20,000 tu, pesa ya ice cream ya junior.

daaah, mi ndo mshahara wangu wa wiki huu kaka na nautegemea kula na kila kitu alafu we unasema pesa ya ice cream? kweli mbele ya Mungu kauli hii imeniumiza sana. UBARIKIWE
 

Kumbe sanyingine zipo ee...basi tu unafnyaga makusudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…