Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,357
- 62,607
Sasa kama yeye hataki tuishi pamoja utamlazimishaChukulia umri wako ni zaidi ya miaka 50, na tayari upo kwenye ndoa na mna watoto.
Ikitokea mwenzi wako akachepuka au akakuwekea mazingira ya kutaka kuvunja ndoa, kwako itakuwa ni afya au ni tatizo?
Na je, utakubali ndoa yako ivunjike na mtengane?
Tupe sababu.
Kuvunjika kwa ndoa hakuna umri tajiri. Ili ndoa ifanye kazi kuna vitu lazima viwepo, na ili ndoa isifanye kazi kuna vitu lazima viwepo.
Hakuna umri sahihi wa kuvunja ndoa, sababu ndoa sio umri ni mazingira.
Miaka 67 uachane na mwenzako, hapo unaenda kumuoa nani, vipi kuhusu uchumi ulioutafuta?Sasa kama yeye hataki tuishi pamoja utamlazimisha
Akitaka tuachane fresh tu apite kushoto
Kwa 50s, kwa wengi watoto wao wameshakua, wamesoma na hata kuondoka nyumbani , nafikiri kuvunja ndoa inakuwa rahisi kuliko 30s or 40 maana una watu wanakutegemea 💯Sasa mtuu ushazeeka unataka kutelekeza familia
Kama ungekuwa wewe, ungetoa uamuzi gani?Uko juu ya 50 halafu unataka kufanya maamuzi ya vijana wa miaka 30-40
Huko ni kutojitambua.
Kama una 50, kuchapiwa na jambo dogo mno kuwa sababu ya kuvunja ndoa
Ndio maana kukawa na ndoa za mkataba. Alichounganisha Mungu asitenganishe binadamu ni fix tu. Tukichokana kila mtu anaanza kivyake.Chukulia umri wako ni zaidi ya miaka 50, na tayari upo kwenye ndoa na mna watoto.
Ikitokea mwenzi wako akachepuka au akakuwekea mazingira ya kutaka kuvunja ndoa, kwako itakuwa ni afya au ni tatizo?
Na je, utakubali ndoa yako ivunjike na mtengane?
Tupe sababu.
Vipi kuhusu uchumi kuyumba?Mtu akitaka kuvunja ndoa unamkataliaje sasa, mtu mzima umemtongoza amekubali ukamuoa sasa akaona maisha ya ndoa ni magumu na aende miaka 50 ni kitu gani kwani?
Kama ni mwana mazoezi miaka 50 unakuwa fiti kabisa bila shida na unaoa wanawake wako chungu nzima
Ukihisi mwenzio anachepuka, wewe utachukua hatua zipi?Sasa mtuu ushazeeka unataka kutelekeza familia
Karibu sana, ndoa tamu sana, elnino inakaribiaSoon I'm going to face it😁
Ndowa😆
Sasa mna miaka 67 mnaachana ili muende wapi?Ndio maana kukawa na ndoa za mkataba. Alichounganisha Mungu asitenganishe binadamu ni fix tu. Tukichokana kila mtu anaanza kivyake.
Vipi kuhusu mgawanyo wa mali?Kwa 50s, kwa wengi watoto wao wameshakua, wamesoma na hata kuondoka nyumbani , nafikiri kuvunja ndoa inakuwa rahisi kuliko 30s or 40 maana una watu wanakutegemea 💯
67 wote mmeshazeeka na swala la cheating hakuna tena,ni kusaidiana na kupeana company,ila 50 ni very dangerous especially wanaume ndio utakuta wanaanza na videmu vya Gen ZMiaka 67 uachane na mwenzako, hapo unaenda kumuoa nani, vipi kuhusu uchumi ulioutafuta?
Mtapeana talaka lini?