Yes,Au sio safii
Yeah, huwa naona wanawake ndo wanapenda sana hivi vitu. Kuhusu suala la macho yapo vizuri kiasi na ninatumia miwani ya kupunguza makali ya mwanga basi. Ila next time nitaku-check nikitaka kufanya check-upHuo ni mkono ?
Natibu macho bila kukupa miwani π
Mash-Allah bora nipae tuu nipinguze gharama za nauli ndugu.Bado kidogo unaanza kupaa ππ πββοΈ
Et Mwemwere sikupanga kuchekaYes,
sina tatizo na mtu,
nchi imetulia chini ya serikali sikivu ya CCM, na pale juu Dr.Samia Suluhu Hassan amekaa vizuri kwenye nafasi yake, basi kila kona ya nchi mambo ni bam bam, mwemwere mwemwere
Ila Jeyihefu ona unavyojizima data π€£Yeah, huwa naona wanawake ndo wanapenda sana hivi vitu. Kuhusu suala la macho yapo vizuri kiasi na ninatumia miwani ya kupunguza makali ya mwanga basi. Ila next time nitaku-check nikitaka kufanya check-up
Ila uchoyoπMash-Allah bora nipae tuu nipinguze gharama za nauli ndugu.
Weee binti ni mkorofi sana, nimesema hata mniuwe sitaki bado tuu unakazania.Ila uchoyoπ
Sio Kwamba sitaki kuku-support clinic yako ya macho , ni vile sina tatizo kubwa sana kwa sasa. Usijali nitakuona wakati utapowadia unielekeze ilipo ofisi π€Ila Jeyihefu ona unavyojizima data π€£
Na mimi mkorofi kweli π₯π₯Weee binti ni mkorofi sana, nimesema hata mniuwe sitaki bado tuu unakazania.
SafiiiiiiπSio Kwamba sitaki kuku-support clinic yako ya macho , ni vile sina tatizo kubwa sana kwa sasa. Usijali nitakuona wakati utapowadia unielekeze ilipo ofisi π€
Miye sipendi majibizano nisije rusha ngumi bure..Na mimi mkorofi kweli π₯π₯
Enewei, wacha nisubiri wataalamu labda watakuwa na majibu ya swali languSafiiiiiiπ
Kumbe inafikiaga hivi.!Mahusiano yana usiri kiasi hiki usijue una bwana punga? Nikiona tu ukoko wa samadi kwenye boksa mimi basiππΎ
Usisubutu utaumia nimewahi kupiga mtu kwa T K OMiye sipendi majibizano nisije rusha ngumi bure..
Ngoja wajeEnewei, wacha nisubiri wataalamu labda watakuwa na majibu ya swali langu
Ilikuwa lini hiyo!? Ni wanachama hai?Mshana Jr kuna siku km saa 7 na nusu usiku humu humu ndani kuna faili lilishushwa chaaa.
Fulani kaachika kwa sbb ya kusagana na ana watoto wawili teena ile ID naikumbuka vzr. Tulichangia km watu nne hivi uzi ukapote mpk leo.
Na bahati nzuri ID zoote za ke/me zikawekwa.
Mshana Jr kuna siku km saa 7 na nusu usiku humu humu ndani kuna faili lilishushwa chaaa.
Fulani kaachika kwa sbb ya kusagana na ana watoto wawili teena ile ID naikumbuka vzr. Tulichangia km watu nne hivi uzi ukapote mpk leo.
Na bahati nzuri ID zoote za ke/me zikawekwa.
AI inakufichia aibu nyingi.. Ukiandika yako mwenyewe ni urojo mtupukwanza sintapanic,
nitathibitisha na kujiridhisha kwanza ikiwa ni kweli au nimeona maruwe ruwe tu,
jambo la pili,
kama mwanaume kamili,
nitafanya utafiti wa kina ili kubainisha ni kitu gani hasa kilimfanya aanze kufanya hiyo chafu, na ni kipi hasa kinachochea ang'ang;ane na hiyo nonsense.
kwa hatua za awali,
Jambo la tatu,
kama mwanaume kamili,
kwa hatua za awali katika kutafuta majawabu ya changamoto hizo, sintamshirikisha mtu yeyote ispokua Mungu kuhusu hiyo changamoto. Nitamsitiri huyo pisi kali na kuhakikisha tunapambana kadiri iwezekanavyo kutafuta majawabu ya changamoto hiyo, kuidhibiti na kuiacha kabisa tabia hiyo, na hatimae sasa nawe awe miongoni mwanaharakati machamoioni wa kupambana na kuhakikisha wengine hawajitumbukizi kwenye hiyo nonsense.
Lakini,
nikikwama kuidhibiti changamoto hiyo,
ndipo sasa nitaanza kutafuata usaidizi ambao nao lazima na wenyewe uwe very credible kwangu,
na kwakweli nitamfanya pisi kali huyo awe mfano wa mabadiliko ya kimaadili miongoni mwa pisi kali wengine wanaodharauliwa kwenye jamii kwasababu ya hiyo upuuzi wa kuishi kwenye kiza cha ushetana, na kuwafanya waingie katika nuru na kuachana kabisa na hiyo chafu.
Kuna baadhi ya changamoto kwenye mahusiano, zinafaa kugeuzwa na kutumika kama fursa muhimu sana ya mabadiliko ya kijamii, kisiasa au kiuchumi.
Hakuna haja ya mwanaume kamili kupanic na kukimbia changamoto, ni muhimu sana kupambana nazo na kuzimaliza kabisa.
Mungu Ibariki Tanzania
We wamoto aisee mpaka T K O unaijuaUsisubutu utaumia nimewahi kupiga mtu kwa T K O
kwani gentleman,AI inakufichia aibu nyingi.. Ukiandika yako mwenyewe ni urojo mtupu