Changamoto za mahusiano mapya ukiwa 40+

Mahabuba, hujaachaga kuongea point tu!

Haya Maisha Bwana, sometimes kupata jambo sio kwa sababu ya Jitihada sana kwenye haya mambo kuna watu wanapambana sana mpaka hizo 40+ lakin hola, na kuna wengine wamerelax ile under 22 mambo yananyooka tu!
 
Miss you bebes

Mhubiri 9:11
"Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote".
Mahabuba, hujaachaga kuongea point tu!

Haya Maisha Bwana, sometimes kupata jambo sio kwa sababu ya Jitihada sana kwenye haya mambo kuna watu wanapambana sana mpaka hizo 40+ lakin hola, na kuna wengine wamerelax ile under 22 mambo yananyooka tu!
 
Unaona? Mambo hayo sasa?
Mhubiri amemaliza kila kitu
Tuwe humble tu

Mimi nimesema nimekumiss kule
Kumbe huku nimemisiwa pia
Baby this love's too strong
 
Nyinyi mnaosema kuwa hakuna haja ya mwenza ukiwa 40+ mnaelewa kuwa katika umri huu bado mbegu zinatengenezwa na zinahitaji kutoka. Ukiwa na mwenza si lazima upate penetration lakini akikushika tu anasaidia kuongeza hisia na kumaliza shughuli
Halafu wanawake wakifika 40 hamu inazidi....
 
Changamoto hasa.

Hata kabla kids hawajawa involved.

Vitu vingi ulikuwa unavitazama kudate a person sasa hivi sio priority anymore.
By then unakuwa na aina flan ya kutaka utulivu wa akili body and mind which lazima tu kuna vitu utacompromise ili uvipate.

Only to notice that was still a journey na safari ya sorting and choosing bado inaendelea.

Yani ni changamoto aiseeh.
 
Hahahhahahhaahhahhahaaha nimempenda shosti
 
Ukishakuwa na 40+, kwa nini uanze hangaika na mahusiano...

Huu ni muda wa kula muendelezo wa pesa uliyochuma na kuwekeza zaidi kwa ajili ya 'wananchi' uliweza jaliwa na Maulana
Huwezi kuwa serious mtani.

Kwamba ndo ukae tu ,busy na kuendeleza miradi!

Hell nah!!
 
Miaka zaidi ya 40 unataka uolewe ama kuoa ili iweje?
Toa boko kwa vijana tu, maisha yaende huku ukisubiri mauti.
 
Huwezi kuwa serious mtani.

Kwamba ndo ukae tu ,busy na kuendeleza miradi!

Hell nah!!

Naam mtani...

Jinsi umri unavyosogea, unatakiwa utulie ukiwa na focus ya vitu vichache tu...

Sasa hebu fikiria, mtu upo umri huo ndio kwanza upo busy kuanza mahusiano na kuachana na kuanza tena na kuachana...
 
At 40 ukae single? Mzee unajua fote bado mdogo tu kibongobongo, sasa kama Mungu kakupa miaka 80 kwa nini ujitese kuishi miaka mingine 40 kwa sonona?
 
At 40 ukae single? Mzee unajua fote bado mdogo tu kibongobongo, sasa kama Mungu kakupa miaka 80 kwa nini ujitese kuishi miaka mingine 40 kwa sonona?

Kwa namna ya taratibu zetu za maisha, gari linachelewa sana kuchanganya...

Ndio maana 40+ sisi waafrika tunajipata tuna mambo mengi hapo...

Ila kwa mtazamo wangu, umri sahihi wa kupambana na mahusiano ni kuanzi late teen age hadi kwenye early 30's...

Baada ya hapo pambana kulea familia (mke, watoto), tumia nguvu kubwa kufanya investments...

Otherwise utajipata uko kama Lemutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…