Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Kwa kweli, na kwa nini uwe single at 40 mkuu? Kuna umri mtu hutakiwi kuwa single coz unaweza hata kujitafutia maradhi hakyanani.
Why should I...
Kama ni mahusiano na mikikimikiki yake yalishafanyika kwa miaka 20+...
Fikiria tokea mtu upo 15 kwa wale wa kijijini huanza hizi mambo mapema au 18, unakimbizana na mapenzi...
Unafika muda wa kutundika daruga napo bado tu unahangaika kuanzisha mahusiano mapya...
40+ huu ndio muda wa kuacha legacy, muda ambao unakuwa umefocus kwenye vitu vichache mno
Bad...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hili swali bwana!Brod darling nikuulize kaswali, wewe ulioa/kuanzisha familia exactly katika umri ambao ulikuwa umetamani?
Hahaha nilitaka nikupeleke kituo fulani, ila nikataka twende hatua kwa hatua hadi kwenye hicho kituo, ndiyo tungeelewana vizuri. Wakati mwingine hatupangi kupitia njia fulani, ila hatima zetu zinatupitisha humo; Mungu ana mipango yake. Kuna watu hawakupanga kufika 40s wakiwa single or without stable families; ni maisha tu, circumstances pushed them there. Kama ambavyo wewe ulitamani baadhi ya vitu kwenye maisha yako vingetokea mapema sana, but vikaja kutokea kwa wakati mwingine; cha muhimu ni kwamba mwisho wa siku vilitokea. Even a marriage at 50 is still an accomplishment; what matters is you found love at last. Wengine hadi wanakufa hawapati hivyo vitu eti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hili swali bwana!
Huyo mengi ilikuwa ujinga wake au alilogwa kuoa klyin aliingia Cha kike na kuzaa kule uzeeni na utajiri wake mbona sikuhizi watu hu freeze mayai na kwenda kubebewa mimba, watu hutafta wenzi watu wazima wenzao sio mama mzee anatafta kibeten au mzee wa age ya mengi kuoa mtoto mdogo hyo ni majanga na kujitaftia kifo Cha mapema
Mengi hajafanya kosa lolote kwa maono ya wanaume wengi...
Hata mimi ningekuwa mengi kwa mazingira yale ningepata mwanamke naempenda na uzazi unawezekana ningezaa nae..
Mengi ana utajiri mkubwa. Na ana watoto wakubwa wawili around 50s.. ila hao watoto mpaka umri huo wa utu uzima hawajawai kuoa wala kuniletea mjukuu yeyote... sasa kama wao wameshindwa kuendeleza kizazi.. mimi baba yao niliewatafutia utajiri acha nizae niendeleze kizazi utajiri nilioutafuta kwa jasho usiende kwa wengine ..
Jaribu kuwaza regina na abiel wakifariki. Je jina la mengi alietafuta utajiri lingebaki kweli . Na mali za mengi zingelindwa na nani
Alijidaganya tu na yeye tajiri mzima walishindwaga ku freeze mayai waje kupandikiza kwa yoyote awabebee watoto walee, hyo ya kina Regina na kaka yake sio kuzaa vipi huo utajiri wa mengi ka haukuwa wa maagano ni Nini hadi kimewafunga watoto kuwa na familia,hadi utu uzima huo. So huyo mengi failed to raise a Good family's anahangaika na michepukoMengi hajafanya kosa lolote kwa maono ya wanaume wengi...
Hata mimi ningekuwa mengi kwa mazingira yale ningepata mwanamke naempenda na uzazi unawezekana ningezaa nae..
Mengi ana utajiri mkubwa. Na ana watoto wakubwa wawili around 50s.. ila hao watoto mpaka umri huo wa utu uzima hawajawai kuoa wala kuniletea mjukuu yeyote... sasa kama wao wameshindwa kuendeleza kizazi.. mimi baba yao niliewatafutia utajiri acha nizae niendeleze kizazi utajiri nilioutafuta kwa jasho usiende kwa wengine ..
Jaribu kuwaza regina na abiel wakifariki. Je jina la mengi alietafuta utajiri lingebaki kweli . Na mali za mengi zingelindwa na nani
Alijidaganya tu na yeye tajiri mzima walishindwaga ku freeze mayai waje kupandikiza kwa yoyote awabebee watoto walee, hyo ya kina Regina na kaka yake sio kuzaa vipi huo utajiri wa mengi ka haukuwa wa maagano ni Nini hadi kimewafunga watoto kuwa na familia,hadi utu uzima huo. So huyo mengi failed to raise a Good family's anahangaika na michepuko
Tuwe wakwe meli, wakati Mzee Mengi akiwa 30βs hii technology ya ku freeze mayai ilikuwepo?Alijidaganya tu na yeye tajiri mzima walishindwaga ku freeze mayai waje kupandikiza kwa yoyote awabebee watoto walee, hyo ya kina Regina na kaka yake sio kuzaa vipi huo utajiri wa mengi ka haukuwa wa maagano ni Nini hadi kimewafunga watoto kuwa na familia,hadi utu uzima huo. So huyo mengi failed to raise a Good family's anahangaika na michepuko
Tuwe wakwe meli, wakati Mzee Mengi akiwa 30βs hii technology ya ku freeze mayai ilikuwepo?
Huyo mengi mke wa ujanani asingedanja na yeye ungekuta angekuwepo baada ya mke wa kwanza kuondoka mzee alidorora afya yake walikuwa soulmate sema umalaya tu ulimfanya anahangaika in real sense unazaa at 70 siangezaaga ujanani huko kwenye fortyMengi k kyn ni mke wake.. sio mchepuko.. mengi k lyn ni mke wake halali kabisa.. ndio maana k lyn anakitwa jackiline mengii.. sheria zote zinamtambua k lyn kama mke wa mengi.. na wala sio mchepuko wa mengi
Ndo lesson kwa tuliobaki licha ya ku freeze inabidi kujiongeza tu hata kwingine aiseeTuwe wakwe meli, wakati Mzee Mengi akiwa 30βs hii technology ya ku freeze mayai ilikuwepo?
Hamna anayemchukia klyn hafu wewe ndo umeleta Mambo yake hapa mbona kuharibu tu hii nada,Watu wanamchukia k lyn sababu amepata utajiri kwenye ndoa.. ila wanasahau k lyn pia amefanya kazi ya kumpa faraja mengii na kumtunza uzeeni na kumzalia watoto wa kuendeleza jina la mengi..
K lyn amefanya yote kwa mengi ambayo mke anapaswa kufanya.. ila watoto wakubwa wa mengi mpaka wanafika karibia 50 age why wasilete wajukuu wa kuendeleza kizazi
Huyo mengi mke wa ujanani asingedanja na yeye ungekuta angekuwepo baada ya mke wa kwanza kuondoka mzee alidorora afya yake walikuwa soulmate sema umalaya tu ulimfanya anahangaika in real sense unazaa at 70 siangezaaga ujanani huko kwenye forty
TehNa tutadedi pamoja tukiwa madhabahuni
Mkuu kwa sasa unajipangia na kuamua mwenyewe bana sasa at 80 huko watafta Nini, hafu pia waweza ku adopt mtoto na kumlea pia.Mtoto analetwa na mungu. Hujui Mungu atakupa lini? Mtoto hupangi wewe binadamu kumpata lini?
Hata kwenye biblia kuna watu wa Mungu wengi walizaa kwa kuchelewa sanaa na sanaa..
ππππππHaya maisha unakuta mtu ana 40yrs hana nyumba ati nae anataka kukuoa afu hapa hapo ndo wa kwanza kuponda wadada wanopenda mali really?
Hivi kweli miaka 40 uko unapanga chumba afu unataka kuoa? Bora hiyo ndoa niikose.