Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Ur still a learner
 
sasa kama unataka karaha Oa mwanamke less than 25 yrs, utapata tabu sana.
Hahaaaaa kweli aisee kuna rafiki angu mmoja huniletea mashtaka kila siku yule binti ana 22 yaani visa vya ajabu ajabu mpaka najiuliza aahh hivi alilazimishwa kuolewa au nini??
 
hii vita si mchezo..
ila all in all haya mambo hayana formula...
wapo waliooa singo maza na ndoa zao zazidi shamiri deile & wapo waliooa ambao hawajazaa mpk wamefika 30 kuja kushtuka kumbe sababu ni wagumba sio maamuzi!
Mention them so that we can be sure that ur not talking about ghosts!!!!
 
Au parents day shuleni inabidi waende Baba na mama sasa imagine shule ya boarding huko mbali inabidi wakae siku mbili au tatu
Yaani lazima utapata stress tu, kubali au kataa.
 
Huu ni mtihani. Chini ya 25 wako wengi ila ni suicide, over 25 kama hajaolewa ana mtoto.
Sio wote mkuu bana nasisitiza, kuna watu wako 25-30 na hawana watoto ni basi tu wameamua kutulia na kukutana na wenzi sahihi wa maisha.
 
Hahaaaaa kweli aisee kuna rafiki angu mmoja huniletea mashtaka kila siku yule binti ana 22 yaani visa vya ajabu ajabu mpaka najiuliza aahh hivi alilazimishwa kuolewa au nini??
kuanzia kwenye mhusiano visa kwa kwnda mbele.
 
Kwani wewe una miaka mingapi tuanzie apo mpaka useme umechelewa
 
Heheheh huu uzi leo unabariki single mothers na wanawake zaidi ya miaka 30 kuwa ndo wife material
Huku ukikandia watoto wenye under 25 hahahahhaha
Mwanaume akiwa anaelekea desperate age ni kashersheeeeeee

Endeleeni kuchagua jmn lol
Kweli naona under 25 wanakandamizwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui wametumia kigezo gani kuconclude kwamba under 25 wote hawafai...
Ila hao over 25 nao imekua changamoto..Sasa hapo sijui wanaume mnataka wepi[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…