Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Lakini wote ni single mothers.

Mimi.huwa nawaza ujinga inapofika kutaka kumchukua single mamy, kwamba ina maana.huyu kafumuliwa sana mpaka kazaa?? Hamu inaisha.
Mimi toka niachane na demu wangu wa chuo..chuo nilimaliza mwaka 2009 demu nimekuja kuachana mwaka 2015

Kila demu ambaye ana sifa nazotaka since 2015 lazima nikute ana mtoto

Ni demu mmoja out of six ndiye hakuwa na mtoto..na huyo si kumpenda kivile japo alinipenda saana

So nimeamua nitaoa single mother..maana nataka demu mwenye umri wa miaka kati ya 25-30

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wanawake akili zinakuwa wakizaa?
 
I wishi nikuoe
 
Acha kunianika
 
Kwa hisani yako mchukue huyohuyo single mamy na Mungu atakubariki, tusiwaogope, wapo wenye sifa nzuri.
 
Kwa hisani yako mchukue huyohuyo single mamy na Mungu atakubariki, tusiwaogope, wapo wenye sifa nzuri.
Hakuna changamoto kubwa kama ku-engage na mtu anayekwambia "mzazi mwenzangu ", yaani kila baada ya muda lazima utasikia huo msamiati "mzazi mwenzangu".

Kwa kweli kila mtu na choice yake, lakini when it comes to marriage kuoa/kuolewa na mtu mwenye mtoto/watoto unazidisha changamoto.

Nawapa kongole waliooa single parents.

Sent from my TA-1032 using Tapatalk
 
Au parents day shuleni inabidi waende Baba na mama sasa imagine shule ya boarding huko mbali inabidi wakae siku mbili au tatu
 
Heheheh huu uzi leo unabariki single mothers na wanawake zaidi ya miaka 30 kuwa ndo wife material
Huku ukikandia watoto wenye under 25 hahahahhaha
Mwanaume akiwa anaelekea desperate age ni kashersheeeeeee

Endeleeni kuchagua jmn lol
 
hii vita si mchezo..
ila all in all haya mambo hayana formula...
wapo waliooa singo maza na ndoa zao zazidi shamiri deile & wapo waliooa ambao hawajazaa mpk wamefika 30 kuja kushtuka kumbe sababu ni wagumba sio maamuzi!
 
Mwanaume hazeeki wewe.....
 
hii vita si mchezo..
ila all in all haya mambo hayana formula...
wapo waliooa singo maza na ndoa zao zazidi shamiri deile & wapo waliooa ambao hawajazaa mpk wamefika 30 kuja kushtuka kumbe sababu ni wagumba sio maamuzi!
Hujashtuka siku hizi Bibi harusi wengi wana vitumbo? Mbuzi kwenye gunia nani anataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…