Usiseme ivo nahitaji maombi na kujifunza mambo mapya maana naona ni tatizo kwanguUmeishi mpweke muda mrefu hayo ndio madhara yake. Mkiambiwa muoe mapema hamtaki, basi heri uishi peke yako ili usipate bugudha
Huwa wanakuwa na akili za kitoto na hawajitambui.Ndio umri wa binti kuanza mapepe kwa sababu anajiona mzuri na kweli ndio umri binti ambao huchanua kama ua.Hadi akifika miaka 25 ndio huanza kujitambua.Hahaaaaa kweli aisee kuna rafiki angu mmoja huniletea mashtaka kila siku yule binti ana 22 yaani visa vya ajabu ajabu mpaka najiuliza aahh hivi alilazimishwa kuolewa au nini??
Si kweli mkuu mwanaume anakomaa via za uzazi na kuwa na mbegu bora za uzazi kuanzia miaka 36.Pia hamu ya kingono huongezeka zaidi,na kinyume chake kwa mwanamke(vice versa) huu ni ushahidi wa nadharia ya sayansi.Ukiwa na 35+ years inabidi uoe wa 35+ years!! vinginevyo vijana watakusaidia!! Nguvu zilishapungua sana na utakuwa mteja mzuri wa waganga wa kienyeji.
Asante kwakututia moyo Senior bachelor.Wakati wa Mungu ukifika atakuletea wa kufanana nae, sasahivi utahangaika, utachagua chagua but Mungu akirelease his grace utashangaa utakavyompata kirahisi tena mdada aliye wife material. Yamkini Mungu bado anamtengeneza huyo mke aliyemkusudia kwako, maybe kuna areas of weaknesses ambazo wewe usingeweza kuzivumilia hivyo anamuandaa kwaajili yako na the same kwako. Unaweza kujiona unafaa but Mungu anaona kitu kwako ambacho sio therefore anakutengeneza bila kujijua wewe.
Point, wakati unasubiri mume au mke mwema mwombe sana Mungu akufanye nawewe kua mwema. Ishi katika maisha matakatifu. Tulia mwombe Mungu. Mungu atakusaidia siku atakayoona wewe na mambo yataenda automatically had utashangaa. Wishing you all the best
mbona ndugu zangu nakaa nao vizuri sana, ata marafiki bakiUna ubinafsi fulani wa asili
80% ya ndoa zinazinguaUmeishi mpweke muda mrefu hayo ndio madhara yake. Mkiambiwa muoe mapema hamtaki, basi heri uishi peke yako ili usipate bugudha
Safi kabisa.. sio unaoa mwanamke mna umri sawa, unataka kufa?Kiuhalisia mwanaume unatakiwa uoe mwanamke uliyemzidi umri wa miaka kati ya miaka 6 - 15.Huu ni uwiano mzuri wa kuja kuzeeka pamoja,na mwanaume kuwa na fikra ya kumuongoza mkewe katika changamoto mbalimbali za maisha.
NENO LANGU SI SHERIA.
Ni kweli japo mkishapata mmoja ugeukaHahah
Umeonaee!80% ya ndoa zinazingua
DuhSafi kabisa.. sio unaoa mwanamke mna umri sawa, unataka kufa?
Tena hapo ongeza hadi 20.
Kama una umri wa 38 hadi 45 hujaoa .. tafuta kabinti ka 20 to 25 kanakU bado kana nguvu..
Wanawake wa siku hizi akisha fika 35 chini kuna anza kukauka.. hadi umwage glisi lita 5 ndio kuna lainika.
Pia wakisha fikia 35 wanakua wakali na viburi.
100% nakubaliana na wewe.Ila umenichekesha kupaka grisi hahaa.Safi kabisa.. sio unaoa mwanamke mna umri sawa, unataka kufa?
Tena hapo ongeza hadi 20.
Kama una umri wa 38 hadi 45 hujaoa .. tafuta kabinti ka 20 to 25 kanakU bado kana nguvu..
Wanawake wa siku hizi akisha fika 35 chini kuna anza kukauka.. hadi umwage glisi lita 5 ndio kuna lainika.
Pia wakisha fikia 35 wanakua wakali na viburi.
Ooh sawaaaMimi sijafika, nipo early 30😅😅😅😅😅😅
Duuuuuuuuu.Safi kabisa.. sio unaoa mwanamke mna umri sawa, unataka kufa?
Tena hapo ongeza hadi 20.
Kama una umri wa 38 hadi 45 hujaoa .. tafuta kabinti ka 20 to 25 kanakU bado kana nguvu..
Wanawake wa siku hizi akisha fika 35 chini kuna anza kukauka.. hadi umwage glisi lita 5 ndio kuna lainika.
Pia wakisha fikia 35 wanakua wakali na viburi.
HahahaaaaaaaaHuwa wanakuwa na akili za kitoto na hawajitambui.Ndio umri wa binti kuanza mapepe kwa sababu anajiona mzuri na kweli ndio umri binti ambao huchanua kama ua.Hadi akifika miaka 25 ndio huanza kujitambua.
Ila dawa ya kumtuliza ni kumbebesha mimba,na akizaa kidogo wenge hutulia.
Mkuu kwanini sijaelewa maelezo yako?
Kwahio tusiokuwa na kitu ndio tukate tamaa?