Changamoto za kifedha baina ya wenza zinazidi kuongezeka

Changamoto za kifedha baina ya wenza zinazidi kuongezeka

Hello guys,

Kwa wale wenzangu na mimi tunasema TGIF..!!

Naomba kuzungumza na waliopo ndani ya ndoa na wale wanaotarajia kuingia kwenye maisha ya ndoa.

Kwenye mahusiano hasa ya uchumba, kuna hii tabia ya ndugu zetu wa kiume kutumia nguvu kubwa mno kutu-impress ladies kwa mitoko ya gharama, zawadi za bei ghali, shoppings za hapa na pale bila kusahau adventures - wenyewe wanaita kutu 'spoil'.

Hell yeah! Tumeumbwa kuwa wapokeaji we can't say 'No' to such offers and, in a meantime, tutawakubali tutakuwa nanyi sababu hiyo ndiyo aina ya maisha mliyotuonyesha na kutuaminisha kuwa we can live that life happily ever after.

Haha, picha linaanza baada ya kuwa mwili mmoja, ukishakubali kuishi kwa shida na raha mpaka pale kifo kitakapowatenganisha, hapo ndo wakati pekee utaujua uhalisia wa maisha ya mwenza wako..!!

Unaanza kuona mwenza wako kabadilika; mbona hakujali kama alivyokuwa anafanya wakati wa uchumba? Kwanini kila unachomuomba anasema hana pesa..!?

Dear ladies, sikatai kweli wapo wanaobadilika ila pia asilimia kubwa ya wanaume wengi wanakuwa wana-fake uhalisia wa kipato chao, hivyo ukija jumlisha na majukumu ya familia za pande zote mbili ni lazima mambo upande wao yawe magumu mno..!

Dear brothers,
Tunapenda sana kuwa spoiled na ninyi, ila tafadhalini sana msiishi nje ya budget wala uwezo wenu, muoneshe mchumba wako uhalisia wa maisha yako kabla hajasema 'Yes I do'. Uwe na uhakika na amani moyoni kuwa amekubali kuwa na wewe kwa hali yoyote ile uliyokuwa nayo, hebu msitunishe misuli mpaka mkachana mashati..!

Na ni muhimu mfahamiane vizuri kabla ya kuishi pamoja. Lazima umjue mwenza wako vyema, is she a good saver? Are you an extremely spender? Do both of you believe in debts? Mna assets gani? Mna mipango gani kwenye maisha yenu na je, budget yenu itakidhi na kuyafikia malengo yenu mkianza kuishi pamoja kama familia? Wewe una mshahara na yeye ana mshahara that's good and okay, lakini ni lazima mliweke hili sawa kabla ya kuishi pamoja. 'Ni changu changu, chako chetu' ama '50 by 50'..!!

Na mliopo kwenye ndoa jitahidini sana kuliweka hili sawa baina yenu, jifunzeni kuwa 'open' and 'honest' kwa wenza wenu linapokuja suala la 'waleti' zenu, ukweli na uwazi wa kipato chenu ndiyo utajaojenga msingi bora wa kuimarisha muhimili wa maendeleo ya familia imara! And don't forget that 'marriage is forever..!!

Utachagua mwenyewe kuishi huru ama kuishi katika 'kifungo huru'..!

''Money is one of the biggest thing couples do always fight about'' - Cary Siegel..!!

Tafakarini hili na mchukue hatua stahiki, Blessed Weekend Dears..!!
Umeandika baada ya critical thinking, ni jambo zuri ila baadhi wataona tofauti. Lakini kupanga ni kuchagua na mtu huwezi kichagua matokeo ila unaweza kuchagua cha kufanya.
 
I mean that if I stop giving a woman I have married good times such as taking her for dinners or other gifts and money services it doesn't mean direct that I have gone money caput and I don't have money to continue doing so. Sometimes it is because I no longer feel it is good to go out with her or provide her with money care as I did before we were married. And all these may be because the woman aka wife has failed to meet my love dreams/desires
Then that means you didn't love her in the 1st place,you were just attracted to her

Bt ts also possible you are the source of all that since you failed to take a good care of her as a husband and now she "doesn't look good" so you can't take her out anymore because you are not proud of her
 
Mkuu mie naomba niulize hivi kuna faida gani ya kumpa moyo wako mke wako ilihali yeye na mchepuko wako wote wanapata huduma sawa tena pengine mchepuko ndiyo anapata huduma zaidi kuliko mke?? Kuna faida gani??
Usipovimba kwa Slay queen unakuwa hujamtendea haki, maana you have nothing to offer her zaidi ya hizo treats. Kwa mtarajiwa si umemkabidhi moyo wako na future yako, na umemkaribisha kwenye ufalme wako.
 
@SweetieLee maana yangu ni kwamba, mahusiano ni kama mmea unaomea...

Kama ambavyo ukuzaji wa mmea hupitia hatua mbalimbali tokea ukiwa mbegu, hatua hizo kwa kiasi fulani hushahabiana na mahusiano...

Kuna activities zile za awali hufanyika kwa nia njema tu ya kutaka kujuana zaidi, hivyo hufanyika kwa approaches kama hizo za mitoko, zawadi n.k
Lakini mpendwa wangu, kiukhalisia si ilipaswa kum spoil mkeo liwe zoezi endelevu kama uwezo upo?
Kwanini umwagilie mmea wakati u mchanga ukishamea tu uachane nao?? Huyo ni malkia wako na zawadi ya kipekee duniani baada ya Mama,

Suala la furaha yake ni jukumu lako mpaka pale kifo kitakapowatenganisha.!!
 
SweetieLee You nailed it Boss cute🙏🙏. Ladies mkipay attention you can always notice who is fake. Most of time Vijana wanafake coz hajiamini vile alivyo. Point itabaki hivi "If you love her then be yourself, let her know the real you and she will make her mind".
this is so nice of you Smart Poet,
and this has been appreciated..!
Ndiyo ni kweli tunahitaji utulivu wa khali ya juu kuzitambua mbivu na mbichi..!!
Ni lazima wajifunze kujiamini mpaka tone la mwisho..!!
 
Lakini mpendwa wangu, kiukhalisia si ilipaswa kum spoil mkeo liwe zoezi endelevu kama uwezo upo?
Kwanini umwagilie mmea wakati u mchanga ukishamea tu uachane nao?? Huyo ni malkia wako na zawadi ya kipekee duniani baada ya Mama,

Suala la furaha yake ni jukumu lako mpaka pale kifo kitakapowatenganisha.!!
Latakiwa kuwa endelevu na kwa hili sipingani nawe, maana ni sehemu ya kudumisha intimacy...

Isipokuwa maisha huwa hayasimami, muda unapoenda kuna vipaumbele vingine vinatokea ikiwemo watoto n.k...

Wengi wa wanawake pia hujikuta tu baada tu kuolewa huwakataza wenzi wao kupunguza kutumia fedha katika minajili hii ya mitoko, zawadi zawadi za mara kwa mara n.k

Wanaondeleza maisha ya hivi mara nyingi utapata ni wale ambao wapo na mafanikio ya mali na fedha kiasi kwamba saving kwao si jambo ya kipaumbele...
 
kusema la ukweli sijui niko na interest na kitu gani hasa

movie siiwezi angalia bila kusinzia

Muziki ndio kabisa sipendi

Mpira "oooh em jiiiii" ndio kabisa ukiniuliza swali la mpira ujue unanionea

Nadhani kitu pekee saivi naifuatilia ni "pesa" sema nawazaga sana Nitakapozipata hizo pesa

Nitazitumia kufanyia niinii.......

ooooooh yeeeeeeah nimekumbuka "nafatilia sana mapishi" napenda kupika 100% (serious)
Wewe ni mwanaume wa kwanza kuwa wa kitofauti, kuwa na different hobbies na zile ambazo nilizoea kila mmoja huwa anazo..

Uliishi na washkaji wenzio kabisa katika kukua kwako?? Uipitia changamoto gani maana najua lazima mlikuwa tofauti kila muda.!!

Wewe zichange change hizo pesa! Ukishazipata njoo kwangu we can talk business..!!

Woow'..!! Kupika? Naomba nikae nawe nikuwe nakutegea tegea kupika.!

And hell yeah, kuna thread moja ulisema unapenda sana kuchamba! Please add that to one of your hobbies..(joking)
 
Then that means you didn't love her in the 1st place,you were just attracted to her

Bt ts also possible you are the source of all that since you failed to take a good care of her as a husband and now she "doesn't look good" so you can't take her out anymore because you are not proud of her
That is why I said dreams do change. She might be still beautiful but no more love desires towards her. And this is true, that is why sometimes a man can leave behind a very beautiful woman and to the surprise of many falls in love with a relatively ugly unattractive girl in the eyes of many. Beauty alone isn't sufficient to make up strong love affairs especially after marriage deal has been completed.
 
Kwenye suala la kufake kipato chetu wanaume wengi tunanaswa hapa. Changamoto kubwa wengi tunavutiwa na wanawake ambao hatuna uwezo wa kuwahudumia. Hivyo katika kucaptute antention yake unajikuta unaspend more than what you earn pengine hata kwa kufanya utapeli au kukopa, ili mradi tu PISI ikuelewe.

Ukishavuta jiko ndani huwezi tena fanya hivyo, maana deni lako linakuwa deni lenu wote.
Emery Paper paragraph ya kwanza umeongea ukweli mtupu, Umenibariki..!! Na hivii upele humuota asiye na kucha basii mwanaume atajitutumua ili tu azifikie zile level..!! Halafu huwa inawaongezea nini maskiini ama ni ile mentality yenu ndo inawatesa ya mwanaume hashindwi kamwe.!
 
That is why I said dreams do change. She might be still beautiful but no more love desires towards her. And this is true, that is why sometimes a man can leave behind a very beautiful woman and to the surprise of many falls in love with a relatively ugly unattractive girl in the eyes of many. Beauty alone isn't sufficient to make up strong love affairs especially after marriage deal has been completed.
They say beauty is in the eye of beholder....
 
Sasa kuchukua no ya simu tu kwa Binti tayari 10,000/= imecheua hapo kuna reality ya mahusiano kweli?

Sometimes gia tunazoingia nazo Wanaume kwenye mahusiano ndizo zinazotugharimu vibaya sana.

Gia bora za wakati wote ni kujenga mahusiano ya urafiki wa kawaida tu bila ya kutanguliza pesa na tamaa za ngono, kisha upendo utajijenga taratibu kwa kadri muda utavyozidi kwenda.
Ha ha ha....

Wanawake wanapenda CARE & SECURITY.

Maana ake hivo vyote vinahitaji pesa.

Bila pesa Utajikuta uko FRENDI ZONI.

Afu,
Muhuni mwenye pesa, Anakuovateki kirahisi kabisa.
 
Back
Top Bottom