Changamoto za kifedha baina ya wenza zinazidi kuongezeka

Changamoto za kifedha baina ya wenza zinazidi kuongezeka

Sometimes it is a dream about a partner that changed and not money issues. That's why some men spend lot of money with their side chicks not with their church/mosque wives.
 
Jana nlipokua narudi geto ikiwa ni mida ya sa 2 usiku nasikia mtuu analia kwa sauti chumba cha jirani, nika mind my own business, nikapita mpaka kwangu thou mi ni mgeni hapa kwahyo skujua hasa kinachoendelea na ukizingatia walikwepo majirani nje wakiendelea na mishe zao, nkafungulia mziki sauti kubwaaaa(sipendagi kusikia mtu analia) baadaye natoka nje naona watu wamejazana na ilikuwa sa 3 hivi kisa ni ugomvi kati ya mume na mke, chanzo cha ugomvi ni mke kuchukua/kununua vyombo kwa mkopo bila kumtaarifu mume wake.
Jamaa anadai kuwa hizo pesa huyo mwanamke atazitoa wapi coz yeye(mwanaume) hakuwa na budget ya kununu vitu hivyo, Alafu mbaya zaidi jamaa anasema wakiwa wamekaa ghafla inaingia message ya m-pesa kwenye sim ya mke wake. Ugomvi ule ulipelekea mwanadada wa watu kufungasha vyake kurudi nyumbani kwao.

Mwisho wa story
 
Hao unaowszungumzia wewe ndiyo hawapo sayari hii.

Wewe mwenyewe tu mtu akikufuata serious itakuchukua even years kumwelewa wakati atakuwa alishakata tamaa akapotezea
Haiwezi chukua years, sababu nikishakuambia No, huwa sigeuki nyuma kabisa..!!
Na kama nimekuelewa hutopata usumbufu hadii ufikie hatua ya kukata tamaa hapana.!! Nakupa tu mitihani ya kike ya kukupima imani..!

Ukweli utabaki pale 'slay queens' wapo na 'real queens' pia wapo.!!
 
Tufanye generalization:

Mara nyingi Kipaumbele cha sisi mwanaume katika mahusiano ni sex, kipaumbele cha mwanamke katika mahusiano ni pesa... Asilimia 95 ya wadada katika mahusiano wanatarajia kupewa pesa na mwanaume, asilimia 98 ya wakaka wanatarajia kupewa papuchi katika mahusiano,

Mm naamini mwanaume utaepuka kadhia nyingi za kuombwa pesa ovyo na wadada kama ukiwa handsome.. Coz ukiwa handsome cha kwanza mdada atakachofikiria ni kukupa papuchi hlf kuombwa pesa itakuja baadae, ila mwanaume ukiwa na sura mbaya mdada atakachofikiria ni kupewa pesa kwanza ndo atoe papuchi SweetieLee Lenie
Paragraph ya kwanza nakuunga mkono Mr., ila kiukweli 2nd para sikubaliani na wewe.!! Hivii kuwa handsome ni kigezo cha kupewa papuchi.!?
Okay fine kuna watu wana sura zenye mvuto ndiyo ila kama huna hisia naye huwezi fanya chochote naye.!!

AlphaMale kuwa handsome ni kitu kingine na kuwa na hisia nawe mpaka mtu akupe mwili wake ni story nyingine vilevile..!!
 
Jana nlipokua narudi geto ikiwa ni mida ya sa 2 usiku nasikia mtuu analia kwa sauti chumba cha jirani, nika mind my own business, nikapita mpaka kwangu thou mi ni mgeni hapa kwahyo skujua hasa kinachoendelea na ukizingatia walikwepo majirani nje wakiendelea na mishe zao, nkafungulia mziki sauti kubwaaaa(sipendagi kusikia mtu analia) baadaye natoka nje naona watu wamejazana na ilikuwa sa 3 hivi kisa ni ugomvi kati ya mume na mke, chanzo cha ugomvi ni mke kuchukua/kununua vyombo kwa mkopo bila kumtaarifu mume wake.
Jamaa anadai kuwa hizo pesa huyo mwanamke atazitoa wapi coz yeye(mwanaume) hakuwa na budget ya kununu vitu hivyo, Alafu mbaya zaidi jamaa anasema wakiwa wamekaa ghafla inaingia message ya m-pesa kwenye sim ya mke wake. Ugomvi ule ulipelekea mwanadada wa watu kufungasha vyake kurudi nyumbani kwao.

Mwisho wa story
Nimeipata maana yako vizuri kabisa Son, hapakuwa na mawasiliano mazuri kati ya mume na mke, Kila mmoja anajipangia ratiba zake anavyojiskia yeye kufanya, anayekopa anakopa anayetumia pesa anatumia bila kumjulisha mwenzi wake.!!

Na ndiyo pahala pekee huwa tunakosea sana.!! Ushirikishwaji wa chochote kinachohusu familia ni muhimu sana, lazima mjadiliane kila hatua mtafanya nini, muafikiane litachukua muda gani na budget yake ni ipi..!! Mkishakuwa mwili mmoja kuna masuala lazima myafanye pamoja kama familia.!
 
Back
Top Bottom